Man City wamejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili Declan Rice, kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo mbalimbali na Meridianbet Sport inafuatilia habari za usajili na kina zaidi ili kukupa nafasi ya kufahamu mengi kuhusu timu yako kabla ya msimu mpya kuanza, huku ukijiandaa kubashiri na Meridianbet kwa odds kubwa na michezo ya kasino ya mtandaoni
Mabingwa hao wa Premier League hawana nia ya kuingia kwenye vita vya kuwania zabuni ya kumnasa Declan Rice, na wataelekeza macho yao kwenye malengo mengine baada ya Arsenal kuweka mezani dau la paundi milioni 105 kwa kiungo huyo wa West Ham.
Hii ni kwa mujibu wa Daily Mail, huku Manchester City wakiwa hawataki kuvunja rekodi ya uhamisho ya Waingereza tena kwa kumsajili Declan Rice.
City walikuwa wamewasilisha ofa ya £80m pamoja na £10m za nyongeza, ambayo ilikataliwa na The Hammers. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Arsenal iliwasilisha ombi lao la tatu jana, ambalo Man City hawako tayari kulifikia. wakati huo City wameshindwa kutumia mpunga mrefu kwa Declan, wewe una nafasi ya kupiga mkwanja mrefu ukibeti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Ni habari njema ambayo mashabiki wa Arsenal wamekuwa wakingojea, huku washika mtutu hao wakiwashiwa taa za kijani kumpata Declan Rice anayelengwa na Mikel Arteta majira ya kiangazi.
Kitu pekee kinachowazuia sasa ni West Ham, ambao bado hawajakubali ofa yao ya hivi karibuni. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


