Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetangaza hii leo kuwa Max Mpia Nzengeli ambaye ni mchezaji wa klabu ya Yanga ndiye mchezaji bora mwezi Agosti.

Max kwenye mechi mbili za Yanga ambazo wamecheza amehusika kwenye mabao 3 huku kwenye mechi yao dhidi ya JKT amefunga mabao mawili na kutoa assist moja ambao walishinda mabao 5 kwa 0.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Pia mchezaji huo kwenye mechi dhidi ya KMC alihuika vyema kabisa kwani ndiye aliwavuruga KMC katika dimba la Chamazi pale ambapo pia Yanga waliibuka na mabao 5-0 huku wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Kutokana na mechi hizo mbili za Ligi Kuu ya NBC TFF wamemuona kuwa mchezaji huyo ndiye bora mpaka sasa na kumpa tuzo hiyo ambayo hutolewa kila mwezi na Shirikisho la Mpira.

