Gamondi Kocha Bora Mwezi Agosti

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limemtangaza Miguel Gamondi ambaye ni kocha wa klabu ya Yanga kuwa ndiye kocha bora wa mwezi Agosti.

 

Gamondi Kocha Bora Mwezi Agosti

Gamondi ameiongoza klabu ya Yanga kwenye mechi mbili za ligi kuu toka ateuliwe kuwa kocha mkuu akichukua mikoba ya Nabi aliyetimkia Morocco baada ya kuipa klabu hiyo mafanikio makubwa ikiwemo kuipatia ligi kuu na kuifikisha fainali ya kombe la shirikisho Afrika.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Kocha huyo mpya wa mabingwa watetezi wa ligi Yanga amecheza mechi mbili na kushinda zote kwa mabao 5 kila mechi bila kuruhusu bao lolote katika nyavu zao.

Gamondi Kocha Bora Mwezi Agosti

Hivyo mashabiki wanatarajia makubwa zaidi kutoka kwa kocha huyo mpya huku wakisema kuwa msimu huu wanataka kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na usajili ambao wameufanya msimu huu.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Yanga ndio wanaongoza ligi hii mpaka sasa wakiwa na pointi sita sawa na Simba na Azam ila yeye anaongoza mabao ya kufunga akiwa nayo 10 pia hajaruhusu bao.

 

 

Acha ujumbe