SIMBA NJIA NYEUPE MAKUNDI CAF

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, ni muhimu kufanikisha malengo ya kutinga hatua makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Katika mchezo uliopita ugeni, ubao ulisoma Power Dynamos 2-2 Simba, hivyo Jumapili hii wakiwa wanarudiana, Simba inahitaji ushindi wa aina yoyote, au sare ya bao 1-1 kushuka chini ili ifuzu.SIMBAAhmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, ameweka wazi kuwa watatumia Uwanja wa Azam Complex kukamilisha kazi ya kufuzu hatua ya makundi.

“Tunawakabili Power Dynamos Uwanja wa Azam Complex ambao tutautumia kufuzu hatua ya makundi, mechi itakuwa saa 10 jioni kwa kuwa michezo mingi tulicheza kwenye muda huo.SIMBA“Tangu tumeanza msimu huu hatujawahi kutumia ule uwanja. Wapo wachezaji wengi wanaoujua uwanja ule na wengine hawaujui.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.