Manchester United Kufungua Pazia la EPL 2024/25
Makala iliyopita
Farid Mussa: Chama Alinifanya Nisiende Simba.
Msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza kama ilivyo kawaida hua unaanza kutimua vumbi mwezi wa nane na utaratibu umeendelea ambapo ligi hiyo itaanza kutimua vumbi tena mwezi huo Agosti, Huku vilabu ligi ikitarajiwa kua na ushindani mkubwa kutokana na vilabu mbalimbali kutarajiwa kufanya usajili mkubwa wa kuimarisha kikosi chao.