Raya Asaini Mkataba wa kudumu Arsenal
Makala iliyopita
Mbappe: Nataka Kutengeneza Historia Yangu
Makala ijayo
Kuhusu Manula Kwenda Azam FC, Ahmed Ally Afafanua.
Paundi milioni 27 ndio kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wa golikipa huyo ndani ya klabu ya Brentford ambapo klabu itakayoweza kulipa kaisi hicho itampata mchezaji huyo, Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kulipa kiasi hicho na kufanikiwa kumpata golikipa huyo wa kimataifa wa Hispania.