Simba Yashusha Mashine Nyingine
Makala iliyopita
Beki wa Italia Mbioni Kufanyiwa Vipimo vya Afya Napoli
Makala ijayo
Manchester United ya Waholanzi
Wekundu wa Msimbazi wamedhamiria kwa kiwango kikubwa kuhakikisha wanairejesha timu hiyo kwenye kilele cha ubora ambacho klabu hiyo imekua nayo miaka minne hapo nyuma, Ambapo ndio imekua sababu kubwa ya kuhakikisha wanaingia sokoni na kusajili wachezaji wenye ubora mkubwa.
Beki Mohamed Hussein Zimbwe Jr amekua na ubora mkubwa sana kwa zaidi ya miaka nane sasa ndani ya klabu ya Simba, Kusajiliwa kwa Nouma katika nafasi hiyo ni wazi klabu hiyo imepanga kuleta ushindani mkubwa katika nafasi hiyo lakini pia itaongeza machaguo kwa mwalimu Fadlu Davids.