Aziz Ki Bado Yupoyupo Jangwani
Makala iliyopita
Breaking News: Aziz Ki Bado Yupo Sana Yanga, Jiandaeni Kulia
Klabu ya Yanga inaonekana kudhamiria kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao kwani mpaka sasa wameonekana kujiimarisha zaidi, Ambapo wana wameweza kubakiza wachezaji wake bora klabuni lakini pia kuongeza wachezaji wengine ambao wataongeza ubora kikosini.
Kiungo Aziz Ki alihitajika na vilabu kadhaa kwaku Rais wa klabu hiyo Engineer Hersi Said alikiri kua ofa mbalimbali zimekuja klabuni hapo kumuhitaji mchezaji huyo, Lakini ni wazi klabu ya Yanga imefanya kazi kubwa kuhakikisha wanambakiza mchezaji huyo ndani ya viunga vya Jangwani kuelekea msimu ujao.