Maguire Asisitiza Bado Yupo Sana Man United
Makala iliyopita
Uwayezu Francois Regis CEO Mpya Simba.
Makala ijayo
Juventus Wanamtaka Todibo kwa Mkopo
Kumekua na tetesi za hapa na pale juu ya kutimka kwa beki huyo wa zamani wa Leicester City ndani ya viunga vya Old Trafford, Lakini beki huyo amevunja ukimya mwenyewe na kusema kua bado yupo ndani ya Man United kuelekea msimu wa 2024/25 na misimu mingine mbele.