Fofana Huyoo Milan
Makala iliyopita
Sandro Tonali Kurejea dimbani mwezi huu
Makala ijayo
AWESU AWESU NI MALI YA SIMBA
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amekua kwenye kiwango bora ndani ya klabu ya Monaco anaenda kujiunga na Ac Milan kuongeza nguvu kwenye safu yao ya kiungo ya miamba hiyo ya soka nchini Italia, Kutokana na ubora wa kiungo huyo ni wazi Milan wameongeza mtu sahihi kwenye safu yao ya kiungo.