Ten Hag: De Ligt na Mazraoui Watakuepo Dhiidi ya Fulham Kesho
Makala iliyopita
AWESU AWESU NI MALI YA SIMBA
Kocha huyo ameeleza hayo huku akigusia pia suala la beki Harry Maguire kua fiti kucheza mchezo wa kesho dhidi ya Fulham ambapo Luke Shaw yeye ndo anatarajiwa kukosekana michezo kadhaa ya mwanzoni mwa msimu, Kuwepo kwenye kikosi cha kesho kwa wachezaji walifanya mazoezi na timu kwa siku mbili tu inaonesha kwa namna klabu hiyo inasumbuliwa na majeraha.