Chelsea Wataendelea Kuikazia Man City leo kwenye Super Sunday?
Makala iliyopita
Napoli Yamchukua Neres
Makala ijayo
Simba Yaanza Vizuri NBC 2024/25
Mchezo wa leo utapigwa pale katika dimba la Stamford Bridge ambapo wenyeji ni matajiri hao wa jiji la London wakiwakaribisha mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City ambayo ni wazi ndio klabu namba moja kwa ubora kwasasa ndani ya ardhi ya Uingereza.
Matajiri hao wa jiji la London wanaelezwa wanaweza kumkosa nahodha wao Reece James katika mchezo wa leo ambaye alipata majeraha siku chache zilizopita, Huku Manchester City nao ikiripotiwa wanaweza kumkosa moja ya mchezaji bora kikosi raia wa kimataifa wa Hispania kiungo Rodri lakini kwa kiwango kikubwa vikosi vyote vimetimia.