Manchester City Yaendelea Kuandamwa na Wimbi la Majeruhi
Makala iliyopita
YANGA INA MAAJABU MENGI
Makala ijayo
Man United Yamalizana na Amorim Mpaka 2027
Mpaka sasa madaktari wa klabu ya Man City hawajatoa taarifa kua winga Savinho atakaa nje ya uwanja kwa muda gani lakini pia kocha Guardiola aliweka wazi kua wanasubiri ripoti ya madaktari ili kujua winga huyo wa kimataifa wa Brazil atakua nje ya uwanja kwa kipindi kirefu au kifupi.