Yanga Ugenini Dhidi ya FAR Rabat Leo

Ligi ya mabingwa Barani Afrika hatua ya Makundi bado inaendelea huku katika jiji la Morocco kutakuwa na mchezo mkali kabisa kati ya FAR Rabat vs Yanga.

Yanga Ugenini Dhidi ya FAR Rabat Leo

Mchezo huu utapigwa majira ya saa 4:00 usiku huku timu zote zikiwa na pointi 5 kwenye msimamo wa Kundi hilo B lakini kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa.

Mechi ya kwanza kukutana wenyeji walikuwa Yanga na waliweza kuondoka na ushindi wa goli 1-0 ambalo lilifungwa na Prince Dube na kuwafanya waondoke na pointi 3 nyumbani.

Leo hii FAR Rabat wanataka kulipa kisasi huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mbele ya vijana wa Pedro na mabingwa wa Tanzania.

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Yanga Ugenini Dhidi ya FAR Rabat Leo

Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku kocha wa klabu ya Yanga, Gonclaves akisema kuwa siku ya leo wamejiandaa kupata ushindi kwani wamefanya mazoezi ya kutosha na wana wachezaji ambao wanaweza kuwapa ushindi siku ya leo.

Endapo Yanga akishinda leo anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kwenye hatua inayofuata kwenye michuano hii ya ligi ya mabingwa Barani Afrika. Je nani kuondoka na ushindi leo?. ODDS KUBWA zipo mechi hii.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.