Ligi ya mabingwa Barani Afrika hatua ya Makundi bado inaendelea huku katika jiji la Morocco kutakuwa na mchezo mkali kabisa kati ya FAR Rabat vs Yanga.

Mchezo huu utapigwa majira ya saa 4:00 usiku huku timu zote zikiwa na pointi 5 kwenye msimamo wa Kundi hilo B lakini kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa.
Mechi ya kwanza kukutana wenyeji walikuwa Yanga na waliweza kuondoka na ushindi wa goli 1-0 ambalo lilifungwa na Prince Dube na kuwafanya waondoke na pointi 3 nyumbani.
Leo hii FAR Rabat wanataka kulipa kisasi huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mbele ya vijana wa Pedro na mabingwa wa Tanzania.
Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.


