Aliyekuwa Kocha wa Taifa ya Kenya, Engin Firat, Afariki Dunia

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Engin Firat, amefariki dunia baada ya kuripotiwa kupata mshtuko wa moyo katika uwanja wa Istanbul  nchini Uturuki  alipokuwa akisafiri kutoka Beirut kuelekea Adana.

Aliyekuwa Kocha wa Taifa ya Kenya, Engin Firat, Afariki Dunia

Kocha huyo mwenye asili ya Uturuki na Ujerumani aliwahi kuinoa timu ya taifa ya Kenya kwa kipindi tofauti na kuacha alama katika maendeleo ya soka la taifa hilo kupitia mbinu na uzoefu wake mkubwa katika ukocha wa kimataifa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Kabla ya kifo chake, Engin Firat alikuwa ametangazwa hivi karibuni kuwa kocha mpya wa klabu ya Al Nejmeh SC inayoshiriki ligi ya Lebanon, ambapo alitarajiwa kuanza majukumu yake mapya katika kipindi cha karibuni.

Aliyekuwa Kocha wa Taifa ya Kenya, Engin Firat, Afariki Dunia

Kupitia taarifa rasmi, klabu ya Al Nejmeh SC imethibitisha kifo chake na kumkumbuka kama kocha aliyeacha mchango mkubwa katika soka la Kenya pamoja na wachezaji wengi aliowahi kufanya nao kazi katika taaluma yake ya ukocha.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.