Kichapo cha United Kinamnyima Usingizi Mbappe

 

 

Hali mbaya kwa mbappe, anadai anashindwa kupata usingizi toka walipotolewa kwenye hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kichapo ambacho walipokea cha bao 3-1 kutoka kwa Man Utd.

Marcus Rashford ndiye aliyewapa maumivu PSG baada ya kuweka kambani goli kwa mkwaju wa penati dakika ya 93 na kuwafanya Man Utd waweze kuingia kwenye robo fainali.

Mbappe anasema kuwa kipigo hixho kimewauumiza, kimewacha na jeraha kubwa linalowakoseha usingizi kabisa. Mbappe akigusia suala la mashabiki ansema kuwa uwanja ulijaa mashabiki ambao haakutarajia kama wangewaumiza vile.

Mbappe anasema waliharibu sherehe kabisa kwa kuruhusu kichapo. Neymar pia alikuwa analalamikia penati ambayo ilitolewa kwa United dakika za lala salama akidai kuwa mamuzi hayo yalikuwa ni aibu kubwa.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.