Biashara Ndani ya Atletico

Inaonekana kwamba klabu ya Barcelona ipo mbioni kukamilisha dili la kumchukua nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Atletico ambaye kwa kiwango kikubwa amekuwa sokoni kuwavutia mabingwa hao wa jiji la Hispania ambao kwa heshima kubwa wanataka kufanya biashara.

Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Atletico, bwana Miguel Ángel Gil Marín amesema kwamba kwa sasa klabu hiyo inaweza kufanya biashara ya kupendeza ili kuuziana mchezaji huyo mwenye kiwango cha pekee sana kwenye soka ambapo wanaweza kunufaika sana kupitia nyota huyo.

Kwa siku za usoni amekuwa akihusishwa na kujiunga na klabu kubwa nyingi zikiwemo Manchester City, Manchester United, PSG na Barcelona wenyewe ambao kwa nafasi nyingine waliona nyota huyo angefaa kuwa sehemu ya kikosi hicho lakini inaonekana kwamba tayari maamuzi yamefikiwa kwa mchezaji huyo kujiunga Camp Nou.

Hii ni baada ya kipindi chake kirefu cha kufikiri kama angeweza kujiunga na klabu ipi ambalo lilikuwa ni jambo la muda mrefu sana kwake ila imeonekana kwamba klabu ya Barcelona inaweza kumchukua msimu huu lakini pia nao wanaweza kufanya mauzo ya Coutinho ili kuweka nafasi sawa japo yeye mwenyewe hana uhakika wa wapi atatua msimu ujao.

Kwa sasa yupo katika majukumu ya kitaifa akiwa anakiwakilisha kikosi chake kwenye Euro ambayo yatafanyika 2020. Hiyo ni sehemu kubwa kwa Griezman kuendeleza soka.

Gharama ya kumsajili nyota huyo inaonekana kupungua kutoka €200m hadi €120m kutokana na umri pia, ujirani uliopo baina ya wawili hao. Hivyo, kama atatua ndani ya klabu hiyo ataingia kwa heshima kubwa sana na atachangia mafanikio ya klabu hiyo kwa nafasi kubwa sana.

Lakini swali linalobakia ni kwamba, je, Griezman ataangusha wino wa kuendelea kusalia ndani ya Atletico kama ilivyo kawaida kwake kusema anaipenda sana klabu hiyo au ataweza kujiunga na mahasimu wake wa upande wa pili ili aweze kuwapa heshima ya mataji misimu mingine? Hilo ndilo jibu linalosubiriwa na kila mmoja kwa sasa.

21 Komentara

    Barca inajua kuchagua vipaji.

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Barca imefanya usajili wa uhakika kijana yupo vizuri sana

    Jibu

    Barcelona hawakoseagi na wala hawana kazi mbovu mimi binafsi nawakubali barc

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Hasira za Jana Barcelona wanataka kusajili viungo

    Jibu

    Wapunguze jazba Barcelona

    Jibu

    Barcelona wapo vizuri kwenye iyo sekta

    Jibu

    Barca amefanya usajili wa uhakika

    Jibu

    Griez anaweza kurudi nyumbani baada ya kutoonyesha kiwango bora barcelona

    Jibu

    Hata wakisajili wesha lamba 8zao

    Jibu

    Barcelona poleni Sana Ila kwa sasa inabidi msajili upya@meridianbettz

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Hizi ni habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kwa upande wa Barcelona wanatakiwa kubadilisha kikosi kizima

    Jibu

    Kwa Jana Barcelona wameweka historia ya majozi poleni sana mashabiki ila tunawapa pongezi kwa hatua mnayo pigs ya usajili

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.