Pamoja na kuwa na ligi nyingi sana duniani lakini kuna ligi chache zinazopewa sana heshima na kufahamika na watu wengi, na wqkati mwingine hata umaarufu na kufuatiliwa kwa ligi hizo kupo juu sana. Afrika ni miongoni mwa bara linalojitahidi kuuenzi mchezo huo wenye hadhi kubwa sana duniani; kwa kuwa na timu nyingi zinazocheza ligi mbalimbali zinazofahamika sana ndani na nje ya bara la Afrika. Zifuatazo ni ligi tajiri zinazopatikana ndani ya bara hilo.
Ligi kuu ya Misri
Haina ubishi wa namna yoyote hiyo ndiyo ligi tajiri sana barani Afrika kwa sasa ikiwa na utajiri wa yapata £143.87M. Ligi hiyo imeendelea kutawala michuano mbalimbali mikubwa ikiwemo ile ya CAF Champions League na ile ya kombe la Shirikisho. Kuna klabu kubwa sana na maarufu kama Al Ahly, Zamalek, Ismaily na nyingine nyingi; na ligi yao ina jumla ya timu 18 zinazoshiriki.
Ligi kuu ya Morocco [Botola Pro]
Ni miongoni mwa ligi ambazo zina ushawishi mkubwa sana barani Afrika kitokana na aina ya wachezaji ambao wanasifa kubwa sana katika baadhi ya klabu kubwa barani Ulaya. Wapo wachezaji kama Mehdi Benatia na Achraf Hakimi ambao wanakipiga katika klabu zenye majina makubwa sana. Pia, ligi yao ina jumla ya klabu 16 zinazoshiriki huku wakiwa na jumla ya wachezaji 461. Kuna klabu kubwa kama Raja, WAC Casablanca na FUS Rabat; huku wakiwa na utajiri mkubwa unaokadiriwa kama £134.28M.
Ligi ya Afrika kisini [ABSA Premiership]
Bila shaka hii ndiyo ligi maarufu sana duniani na Afrika kwa ujumla kutokana na kurushwa mara kwa mara mbele ya vyombo vya habri ikiwemo DSTV. Na hii ndiyo huonekana ligi bora Afrika kutokana na umaarufu wake na matumizi ya viwanja ambavyo kwa asilimia kubwa viliachwa baada ya fainali za kombe la dunia 2010. Japo sio hivyo tu masuala ya kisiasa nayo yakapelekea kukua sana. Na utajiri wake unakadiriwa kufika £130.91M.
Ligi ya Algeria [ Ligue Professionnelle 1]
Inahusisha klabu 16 na wachezaji 436 na kati yao 7.8%. Wenzenu wanahitaji kuijua hiyo wenzenu ni kitu gan tumeelewa hilo. Pia ubora wa ligi hii umepelekea uwepo wa wachezaji kama Riyad Mahrez na Yacine Brahimi, na wanakafiriwa kuchangia timu zetu kiwango fulani kinachojadiliwa ndani ya mkoa huu. Hadi sass mkondo wa matangazo inarudi na kurudi.
Ligi ya Tunisia [Ligue I Pro]
Taifa hili lina klabu kubwa na yenye heshima kubwa sana inayofanya kazi vizuri na yenye kujiamini kama kweli kile wanachokifundisha hapo ndicho kinachoendana na matendo yake. Baadhi ya watu wakanitumia majina ya klabu zinazofanya vizuri ikiwemo Esperance de Tunis. Na utajiri wake ni £81.32M; wenye klabu 14.

