Rossi: "Kidogo Nijiunge Barca na Juve'

Giuseppe Rossi alibakikiza kiduchu kujiunga na Barcelona na Juventus! Staa huyu anatazama rekodi ya soka lake lake la kulipwa na kufikiria namna alivyokuwa na nafasi za kuungana na klabu hizo.

Nyota huyu wa zamani wa United amebainisha kuwa alijipata amejiunga na Manchester United kwa ajili ya kutaka sifa kuwa amefanya kazi na Sir Alex Ferguson.

Sababu nyingine ya yeye kuwepo United ni ukweli kwamba klabu hii ndiyo ilikuwa klabu nzuri kwa vijana chipukizi kwenye soka, ilikuwa ni fahari kuchezea Man United akiwa na wachezaji kama Criostiano Ronaldo, Ryan Giggs, Ruud van Nistelrooy.

Akimzungumzia Cristiano Ronaldo, anasema kuwa CR7 kwa wakati wote alikuwa anataka kuwa bora zaidi ndani na nje ya uwanja!

Rossi alipokuwa Manchester alitumia mda mwingi kuwa na Gerald Pique, ni kama walikua pamoja kwa mda waliokuwa wote.

 

Rossi, Ilikuwaje kuhusu Barcelona?

“Nilikuwa na msimu poa sana na Villareal na Barcelona wakaniita, ilikuwa imekamilika kila kitu, mkataba ulikuwa tayari kusainiwa. Ilikuwa ni makubaliano tu ya ada kati ya klabu na mgawanyo utakaofanyika katika bonasi. Baada ya Barcelona kujua kuwa Villareal walihitaji ada kubwa, walibadikisha lengo na kuniacha.”

Vipi kuhusu Juventus?

“Pia nilikaribia sana kujiunga na Juventus alipofika Antonio Conte, lakini walimuuza Santi Cazorla na hawakuweza kuniruhusu niende kwa wakati huo huo.”

3 Komentara

    He was great for Man United

    Jibu

    Man United wapo vzr

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi mwenyewe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.