Tigo Pesa Wapo Meridianbet; Usiwaze!

Ili kuweza kujua jinsi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya Meridianbet kwa njia ya M-Pesa na Tigo Pesa nenda hadi mwishoni mwa tovuti (footer) utaona sehemu waliyoelekeza jinsi ya kufanya huduma hiyo kwa njia ya M-Pesa na Tigo Pesa utabofya hapo na kufuata maelekezo.

Tigo Pesa Wapo Meridianbet; Usiwaze!

Namna ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia TIGO Pesa

  • Hatua ya 1: Bonyeza *150*01# kwenye simu yako
  • Hatua ya 2: Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye menu yako ya Tigo Pesa
  • Hatua ya 3: Chagua 2 kwa “Ingiza Namba ya Biashara”
  • Hatua ya 4: Ingiza namba ya biashara “444999
  • Hatua ya 5: Ingiza tu Akaunti ID yako ya Meridianbet.co.tz kama namba ya kumbukumbu
  • Hatua ya 6: Ingiza kiasi unachotaka kulipa. KIASI CHA CHINI UNACHOWEZA KUWEKA NI SHILINGI 1,000 ZA KITANZANIA
  • Hatua ya 7: Thibitisha taarifa na Ingiza PIN. Kamwe usigawe PIN yako kwa mtu yeyote!

Sasa unaweza kuweka pesa yako katika akaunti yako na kufurahia mikeka yako na Meridianbet

Hapo unaweza kuweka dau la lako kuanzia shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.

Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi kukusaidia.

15 Komentara

    Asanteni meridianbet kwa taharifa

    Jibu

    Mko vizur basi itabid muongeze ata Airtel money

    Jibu

    Meridianbet mnatujali Sana wateja wenu..

    Jibu

    Kweli wamepita wengi pale epl lakini mane anatisha Sana anautendea haki mpira

    Jibu

    Mane kipoko

    Jibu

    Mane namkubal

    Jibu

    Mnatisha meridian

    Jibu

    Sometimes pesa inachukua muda kuingia kwenye account

    Jibu

    Hakuna kama meridian bet

    Jibu

    safi kwa taarifa njema

    Jibu

    Mnatisha meridian

    Jibu

    Mpo vizuri meridianbet

    Jibu

    Mmenirahisishia sana katika hili

    Jibu

    Meridian Safi sana

    Jibu

    Tumewakubali

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.