Ili kuweza kujua jinsi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya Meridianbet kwa njia ya M-Pesa na Tigo Pesa nenda hadi mwishoni mwa tovuti (footer) utaona sehemu waliyoelekeza jinsi ya kufanya huduma hiyo kwa njia ya M-Pesa na Tigo Pesa utabofya hapo na kufuata maelekezo.
Namna ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia TIGO Pesa
- Hatua ya 1: Bonyeza *150*01# kwenye simu yako
- Hatua ya 2: Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye menu yako ya Tigo Pesa
- Hatua ya 3: Chagua 2 kwa “Ingiza Namba ya Biashara”
- Hatua ya 4: Ingiza namba ya biashara “444999”
- Hatua ya 5: Ingiza tu Akaunti ID yako ya Meridianbet.co.tz kama namba ya kumbukumbu
- Hatua ya 6: Ingiza kiasi unachotaka kulipa. KIASI CHA CHINI UNACHOWEZA KUWEKA NI SHILINGI 1,000 ZA KITANZANIA
- Hatua ya 7: Thibitisha taarifa na Ingiza PIN. Kamwe usigawe PIN yako kwa mtu yeyote!
Sasa unaweza kuweka pesa yako katika akaunti yako na kufurahia mikeka yako na Meridianbet
Hapo unaweza kuweka dau la lako kuanzia shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.
Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi kukusaidia.



JULIANA
Asanteni meridianbet kwa taharifa
Gabriel
Mko vizur basi itabid muongeze ata Airtel money
Neema hassan
Meridianbet mnatujali Sana wateja wenu..
David Pere
Kweli wamepita wengi pale epl lakini mane anatisha Sana anautendea haki mpira
samiah
Mane kipoko
Asia Abdy
Mane namkubal
Adelta
Mnatisha meridian
mwakalosi
Sometimes pesa inachukua muda kuingia kwenye account
Hopemwaikux
Hakuna kama meridian bet
aisha
safi kwa taarifa njema
Adelta
Mnatisha meridian
Mwanahamisi
Mpo vizuri meridianbet
Nasra
Mmenirahisishia sana katika hili
Agness
Meridian Safi sana
Warda
Tumewakubali