Tottenham na Manchester United wanachuana za kuwania saini ya beki wa kulia wa Paris St-Germain na Ubeligiji, Thomas Meunier, 28.
Manchester United wanafikiria mbadala wa David de Gea, japo golikipa huyo wa Hispania amesaini mkataba mpya wa miaka minne Septemba.
Manchester United wanajiandaa kutuma ofa kwa mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, lakini Barcelona na PSG pia wanawania saini yake
The Red Devils, Chelsea na Tottenham wanavutiwa na kiungo wa Lazio na Serbia, Sergej Milinkovic-Savic, 25.

Real Madrid imewaambiwa wanfanye maamuzi hadi kufikia Juni 15 kama watamuuza straika wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang, 30, ambae amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake.
Atletico Madrid wanajiandaa kumuuza beki wa Uingereza Kieran Trippier kwa £20m na klabu yake ya zamani Burnley ni moja ya vilabu vinavyohitaji huduma yake.
Liverpool wanajiandaa kumchukua kinda mshambuliaji wa Brazili, Talles Magno, ambae anachezea Rio de Janeiro katika klabu ya Vasco de Gama.

Liverpool inaweza kumnasa beki wa kushoto wa Arsenal Bukayo Saka, kinda huyo mwenye miaka 18 mazungumzo yake na Arsenal yamesimama.
Manchester United wanatumaini ya kumnyakuwa beki wa Swansea Joe Rodon kwa £20m baada ya mchezaji wa zamani na Kocha wa Wales kupendekeza.
Kiungo wa Juventus Adrien Rabiot, 25, yupo tayari kujiunga na Everton au Manchester United baada ya Mfaransa kushindwa kuonyesa makali akiwa Turin.
Tottenham wanaweza kusaini winga wa Bournemouth Ryan Fraser, 26, bure kipindi hiki cha kiangazi.

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amesema Liverpool watatambuliwa kama mabingwa wa Premier League kama msimu utasitishwa.


mathayo sonje
usajili bado unaendelea timu zijiimarishe zimalize ligi vzr
Ernest Kimeru
Thank you meridianbet for keeping us updated.
Ernest Kimeru
Thank you meridianbet for the updates.
David Pere
Washindane atakaw kuwa na mpinga mwingi atamsajili
aisha
hongera sana meridian bet
Tahiya
Mko vzr kwa taarifa
Lombo
Asante meridianbet kwa update
Povel
Thanks kwa habar za kimichezo
Ester jackson
Asante kwa taarifa
Theckla
Nashukuru kwa kutupatia habari Moto moto
Asha mvugalo
Nashukuru meridianbet kwa taarifa..
Elika
Habari njema hiii
SADICK
Asante kwa taarifa # meridianbet
Frank Patrick
Kwann msituwekee hizi tetesi kila siku meridiansport.co.tz🙏
felister
🙏🙏🙏
Furahav
Man u chukua jembe hilo.
mwakalosi
huyu fundi zisiishie kwenye tetesi tu
Antony Luseno
Welcome to Man Utd
Hamidu
Safi meridianbet kwa taarifa nzuri
Warda
coach wa Arsenal yupo sahihi Ata hap bongo Ligi ikisimama simba ni bigwa
Mariam
Asante kwa tarifa meridianbet
Adelta
Asante kwa taarifa
Meridian
Juliana
Mko vizuri meridianbet kwa taharifa