Watford imeungana na Brighton na Aston Villa hadharani kupinga matumizi ya viwanja vya sawa ‘neutral venues’ katika muswada wa Premier League kurejea uwanjani. Mwenyekiti wa na Mkurugenzi wa Hornets, Scott Duxbury amesema haitakuwa na usawa na ubora kwenye michezo.
Ifahamike kuwa vilabu vya Premier League hawana mpango wakupiga kura kama watatumia viwanja sawa katika kikao cha Jumatatu.
Kura zinaweza kupigwa Mei 14 na vilabu 20 lazima vipige kura kama ni watakubaliana au kukataa wazo hilo, na mpaka sasa vilabu vitatu tayari wamepinga muswada huo na ieleweke kuna vingine wana hisia sawa.
Kabla kupiga kura, viongozi wa Ligi wanasubiri muongozo wa serikali kuhusu usalama wa afya wakati wa tukio na vibali vya uwanja ambavyo vinategemewa kutoka wiki ijayo.
“Mimi nakubali hatuwezi kuwa na mashabiki uwanjani,” Duxbury amesema, akaongeza. “Hiyo inakubalika kwasababu ya hali ya sasa.n.
“Japo, sasa tunaambiwa hatuwezi kucheza mechi zetu tisa zilizosalia nyumbani Vicarage Road na faida ya nyumbani inayotupatia. Hii ni kinyume na hisia za wachezaji wetu, wameona maisha yamebadilika kila sehemu ya Dunia na wanatarajia kucheza kama hamna kilichotokea, pamoja na jamii nyingi Duniani bado wanazuio la kurejea uwanjani.
“Kwahiyo ni sawa? Je hii inaonekana vipi kwenye ubora wa mpira wetu? Sio sawa.”
Premier League ilisimamishwa tangi Machi 13 lakini lengo ni kundelea June wakati tumu nyingi zikiwa na mechi 9 zimesalia. Mkuregenzi Mtendaji wa Chama cha Makocha EPL Richard Bevan msimu wa Premier League season unaweza kufutwa kama hawatakubaliana kucheza kwenye viwanja sawa.


Ester mmakasa
Asanteni kwa taarifa muhimu mnazotujuza meridianbet.
Lombo
watfrod mpo juu
Aziza
Viwanja vitachakaa mapema kwani timu ni nyingi alafu viwanja vichache
mathayo sonje
watford wako sawa maana timu ni nyingi sana kucheza kiwanja kimoja ni hatari kwa usalama wa viwanja pia
Tatu
Asante kwa taarifa
Ernest Kimeru
Hili swala Ni lazima wakae na wakubaliane, Ni vizuri kupatikane na viwanja vicheche kwa ajiri ya mechi zilizobaki.
Rehema
Watford namkubali sn
Rehema
Watford naikubali sn
aisha
safi sana
David Pere
Wao wameona hakuna changamoto za mashabiki wao
Salma
Watfrod wapo saw
nasra
Watford wako vzuri
Tahiya
Wako vizur
Adelta
Cha msingi wakae meza moja wakubaliane
Rehema Dickson
Tarifa nzuri Asante meridian
Theckla
Wakae meza moja wakubaliane kwa pamoja
Christopher
Kwao ni kitu cha msingi maana ukiangalia ni timu ndogo na mapato yao makubwa wanapata kweny home games sasa wakiwa wanacheza kweny viwanja tofauti mpaka ligi iishe itatusha uchumi wao kidogo
Elika
Hapo ni makubaliano tuu hakuna jinsi
SADICK
Sioni sababu ya kila timu kutumia uwanja wa Nyumbani? Muhimu kuzingatia masharti ya afya ya wachezaji.
Frank Patrick
Ngoja tusubirie hizo kura maana wenzetu wanaheshimu sana maamuzi
felister
muhimu ni wakubaliane tu
hamidu
ni vzr ..kutokana na janga la corona. wakubaliane vitumike viwanja vichache timu waweze kumaliza lig kwa mechi zilizobaki
Furahav
Noma sana
Povel
Inabidi wakubaliane tu
Antony Luseno
Asanteni kwa taarifa
mwakalosi
watford wasifanye hali kuwa ngumu waangalie wakati tulio nao sasa
Mariam
💯💯💯
khadija
ahsate meridian kwa taarifa kwan mnatujali sana wateja wenu
Asha
Inabid wakubaliana iliwafanye maamuz ya busara
Geniaskaluzwe8
👍👍👍
Gabriel
Wako vzur
Ester jackson
Tunasubiri maamuzi yenu
Juliana
Taharifa nzuri
Theonestina
Asante #meridianbet kwa taarifa mzuri