Bayer Liverkusen wanatarajia kupata ushindi wa sita mfululizo kwenye mechi za michuano yote pale wanapoenda kumkaribisha Wolfsburg kwenye pale BayArena kwenye mechi yao ya Bundesliga Jumanne hii.
Vijana wa Peter Bosz wameshinda mechi zao 3 zilizopita kwenye ligi wakipanda hadi nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Wakati huo Wolfsburg wako nafasi ya sita kwa pointi 29 walizopata kwenye jumla ya gemu 27.
Liverkusen wamefanya poa toga ligi ilipoendelea mwezi huu wakifanikiwa kupata ushindi wa ugenini kwa Werder Bremen na Borrussia Monchengladbach na kujipatia magoli saba katika mchakato huo.
Kwa upande wa Wolfsburg, ambao wako na mpambano wa Ligi ya Mabingwa mezani pia, wamekalia nafasi ya sita katika msimamo wa ligi. Wanatofautiana kwa pointi 2 na Freiburg waliopo nafasi ya 7, bila shaka wanataka kuongeza gepu hili wote wakiwa wameshacheza jumla ya mechi 27.
Wolves hawajawa vibaya sana, walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Augsburg pale Bundesliga iliporejea, japokuwa walipokea kichapo cha 2-0 wakiwa nyumbani dhidi ya Borrusia Dortmund.
Safari yao kuja kwa Liverkusen inaweza kuwa ngumu, lakini wameonesha tumaini la kufanya makubwa katika mechi hii.
Fomu katika mechi 6 hivi karibuni kwa michuano yote
| Leverkusen (Bundesliga) | :WWDWWW |
| Leverkusen (Michuano yote) | :DWWWWW |
| Wolfsburg (Bundesliga) | : WWDDWL |
| Wolfsburg (Michuano yote) | : WDDLWL |
W-alizoshinda D- Alizotoa Sare L-Alizopoteza
Leverkusen Kikosi Kinachotarajiwa: Hradecky; Weiser, S. Bender, Tapsoba, Wendell; Aranguiz, Demirbay; Bellarabi, Amiri, Diaby; Havertz
Wolfsburg Kikosi Kinachotarajiwa: Casteels; Mbabu, Pongracic, Brooks, Roussillon; Schlager, Arnold; Steffen, Mehmedi, Brekalo; Weghorst


Hamidu
Wazeee kwa kubet fursa ndo hiyo
Mechi kubwa b.dortimund vs b.munich#meridianbettz
Mwanaidi
Mechi kali sana hiyo muda good meridian ila hapo naona kama bila bila maana wote wapo vzr sana aisee
Antony Luseno
Leverkusen ana asilimia nyingi za kushinda
Mwanaidi
Duuh bonge la mech hiyo ila wote wapo vzr
Genia skaluzwe
Habari njema kwa mashabiki wa mpira
Rehema
Eeeh bwana bonge la mechi babukubwa
Ester
Dortmund wako vizuri
Tahiya
Huo ni mtanange wa kibabe kabisa
Adelta
Habari nzuri Sana #meridianbettz
Tahiya
Huo ni mtanange wa kibabe kabisa ni kuandaa tyuu mkeka
David pere
Vikosi vipo vizuri sanaa na vya ushindi tupu
Samiah
Ni mtanange wakibabe leo
Asia Abdy
Burudan huku tunaeka utabir raha sana
Rehema Dickson
Ni mechi ya kutupa pesa sisi wakamalia
Mwajuma
Kitawaka
Hope mwaikuka
Leo ni leo
Gabriel
Habar njema sana# meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Liverkuser anasilimia nyingi saushindi
Emmy cleopa
Habari njema
aisha
Dortmund nawakubali sana
Mariam mtandama
Duuuh
Salma
Moto utawaka
Povel
Duh thnks meridian kwa update
Theonestina
👏👏👏👏👏
Furahav
Bonge la Mechi.
Lombo
gud newz asante
Ernest
Mechi hii watapata ushindi mwembamba sana
dorophina
Mechi za kibabe
Carolyne
Bonge la mechi
Juliana
Mechi kali
Magdalena
Mechi Kali sana
Juliana
Habari njema kwa wazee wa mikeka thanks meridian kwa update
Emmy cleopa
Habari njema
Latifa juma mohamed
Hiyo ni habari njema Sana ,ni mwendo wa kutupia Leo kuwahi mkwanja.
mwakalosi
hii mechi ilikuwa tamu sana
SADICK
Timu zote mbili ni nzuri#meridianbettz
Isaya massawe
Nilimpa nafas Leverkusen lakini kaniangusha#meridianbettz
Agness
Duuh bonge la mechi
Tatu
Team zote kali
Elika
Vikos vyote vipo vizur sana
Adelta
Habari nzuri Sana #meridianbettz
frank patrick
Uchambuzi mzuri
Zeiyana iddi
Asante meridianbettz kwa taarifa
Neema juma
Mnatujuza mambo mazuri #meridianbet
Devotha
Asanteni Meridianbettz kwa ufafanuz mzuri
Mwanahamisi
Mechi kababe