Muda wa Bundesliga, Vikosi vya Jumatano

Mchezaji Thiago Alcantara hakuwemo wakati klabu ya soka ya Bayern Munich inaumana na mahasimu wao wa jadi, Borussia Dortmund kwenye Der Klassiker.

Meridianbet inaangalia nani atakuwemo na nani hatokuwemo katika mechi tamu sana za wiki hii na leo tunaangalia za Jumatano.

Jumatano, 27 Mei

RB Leipzig vs. Hertha Berlin (inaanza saa: 6.30pm CEST/5.30pm BST/12.30pm ET)

Leipzig: Gulacsi – Klostermann, Upamecano, Halstenberg – Mukiele, Sabitzer (c), Kampl, Angelino – Nkunku, Werner – Schick
Nje: Konate (hamstring), Poulsen (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: Ampadu (mgongo), Laimer (goti)
Kocha: Julian Nagelsmann 

Hertha: Jarstein – Pekarik, Boyata, Torunarigha, Plattenhardt – Skjelbred, Grujic – Lukebakio, Darida, Cunha – Ibisevic (c)
Nje: Ascacibar (mguu), Kalou (hatokuwepo), Rekik (goti), Stark (nyonga), Wolf (hayupo fiti)
Wanaohofia: Kraft (majeraha)
Kocha: 
Bruno Labbadia

Hoffenheim

Hoffenheim vs. Cologne ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Hoffenheim: Baumann – Kaderabek, Posch, Hübner (c), Zuber – Rudy, Grillitsch – Skov, Geiger, Baumgartner – Dabbur
Nje: Belfodil (goti), Kramaric (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: Adamyan (kifundo cha mguu), Stafylidis (misuli)
Kocha: Alfred Schreuder 

Cologne: Horn – Ehizibue, Bornauw, Leistner, Katterbach – Skhiri, Hector (c) – Kainz, Uth, Jakobs – Cordoba
Nje: Risse (goti)
Wanaohofia: 
Hauptmann (nyonga)
Kocha: 
Markus Gisdol

Fortuna Düsseldorf vs. Schalke ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Fortuna: Kastenmeier – Ayhan, Hoffmann, Gießelmann – Zimmermann, Stöger, Morales, Berisha, Suttner – Karaman, Hennings (c)
Nje: Steffen (goti)
Wanaohofia: 

Kocha:
Uwe Rösler 

Schalke: Schubert – Kenny, Sane, Nastasic, Oczipka (c) – Caligiuri, McKennie, Schöpf – Matondo – Gregoritsch, Raman
Nje: Harit (ligament), Mascarell (nyonga), Todibo (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: 
Serdar (mkono), Stambouli (hayupo fiti)
Kocha: David Wagner

Augsburg vs. Paderborn ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Augsburg: Luthe – Framberger, Jedvaj, Uduokhai, Max – Khedira, Baier (c) – Sarenren Bazee, Löwen, Richter – Niederlechner
Nje: Hahn (tendon)
Wanaohofia: Finnbogason (goti), Giefer (mguu), Iago (ameumia), Schieber (mguu), Vargas (kifundo cha mguu)
Kocha: 
Heiko Herrlich 

Paderborn: Zingerle – Jans, Strohdiek, Schonlau (c), Collins – Vasiliadis, Gjasula, Sabiri – Pröger, Srbeny, Antwi-Adjei
Nje: Kilian (hayupo fiti)
Wanaohofia:
Kocha:
Steffen Baumgart

Union Berlin vs. Mainz ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)

Union: Gikiewicz – Friedrich, Schlotterbeck, Subotic – Trimmel (c), Gentner, Andrich, Lenz – Ingvartsen, Bülter – Andersson
Nje: Becker (paja)
Wanaohofia: Gogia (hayupo fiti)
Kocha: Urs Fischer

Mainz: Müller – St. Juste, Bruma, Niakhate – Baku, Barreiro, Latza, Martin – Boetius – Quaison, Mateta
Nje: Zentner (goti)
Wanaohofia:
 –
Kocha:
Achim Beierlorzer

50 Komentara

    Bundasiliga imenoga tnx@# Meridianbet

    Jibu

    Ni vya ushindi kabisa Yani bila wasiwasi

    Jibu

    Bunda siliga imenoga

    Jibu

    Bundesliga imenoga Sana thank#meridianbet

    Jibu

    Duh kwl meridian baba lao thnks meridian kwa kutupa information za michezo na burudani

    Jibu

    Good article #meridianbettz

    Jibu

    Asante meridian

    Jibu

    Bundesliga kunogire nakosaje kubeti

    Jibu

    Bundasiliga wapo vizuri

    Jibu

    Asanteee meridian kwataarifa

    Jibu

    Bundesliga ndo mpango siku iz vikose vyao vimepangiliwa vizuri sana.

    Jibu

    Mechi kama zote

    Jibu

    Wazeee wakubet fursa ndo hiyo# meridianbettz

    Jibu

    Vikosi makini

    Jibu

    Mechi kama zote #meridianbettz

    Jibu

    Bundesliga imenoga mechi km zote

    Jibu

    Mambo ya bundesliga yametaradadi

    Jibu

    Meridianbettz..! akuna kulala mechi bado zinaendelea

    Jibu

    Mechi Kama zote

    Jibu

    Hatimae tumerudi michezon sasa

    Jibu

    Hapo ni sasa kuna balaa zito

    Jibu

    Mambo bull bull

    Jibu

    Ratibaa amekaaa poa sana

    Jibu

    Taarifa nzuri kwa wapenzi wa Kubeti#meridianbettz

    Jibu

    Mambo ni Moto🔥

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Safi sana meridian

    Jibu

    Nakosaje shure bet hapa sasa

    Jibu

    Bundasiliga iko vizuri

    Jibu

    Asante meridian bet kwa taharifa

    Jibu

    Ahsant sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    hii safi

    Jibu

    Hakuna kiporoo meridianbet kila siku mambo mazuri

    Jibu

    Sawa tunasubilia hiyo Ratiba #Meridianbettz

    Jibu

    #meridianbettz ni nzuri sana

    Jibu

    bundesliga liga ya leo si mchezo lazima nipige pesa

    Jibu

    League ya bundesliga inazidi kushine.

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Ngoja tuone kama ubabe utaendelezwa leo

    Jibu

    Mechi Kama zote

    Jibu

    Ubingwaa inapaswa ujipange kweli

    Jibu

    Thnks kwa update

    Jibu

    Uhondo wa mpira usio na kifani ndani ya meridianbet

    Jibu

    mambo bam bam

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    Hii iko poa.

    Jibu

    Hii iko poa

    Jibu

    Japokuwa kuna corona rakini meridian haukai bure mechi kama zote#meridianbettz

    Jibu

    mambo yametaradadi bundesliga

    Jibu

    Bundesliga imenoga

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.