
Inter wamethibitisha kuwa mchezaji wao wa zamani Mario Corso ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 78, kwa maelezo yaliyo someka kama ifuatavyo.
“Mario Corso afariki Dunia ,ni mtu aliye kuwepo Inter miaka na miaka aliyekuwa na kipaji cha kipekee.”
“Aliburudusha ulimwengu na mguu wake wa kushoto na ameacha historia kwenye timu.
“Fikra na upendo wetu ni kwenda kuifariji familia yake katika kipindi hiki kigumu.”
Corso alikua ni mmoja ya wachezaji wenye ubora madhubuti chini ya kocha Helenio Herrera na kushinda mataji ya ulaya mafululizo mwaka 1963-64 na 1964-65.
Akiwa na umri wa miaka 16 Corso alianza kucheza soka la kulipwa na akiwa na umri wa miaka 17 na miezi mitatu na siku tano aliweza kufunga goli lake la kwanza Inter walipokutana na Bologna mwaka 1958 mwezi Novemba na kufanya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga goli katika klabu ya Inter Milan.
Alicheza nafasi ya mashambuliaji wa pembeni kwa kuutumia vyema mguu wake wa kushoto, Corso alishinda mataji manne ya Serie A na kucheza mechi 23 katika timu ya Italia.


Sadick
R.I.P Mario Corso#meridianbettz
Rehema
Duuuh! R.I.P
Magdalena
Mario Corso alikuwa mahili katika soka pumzika kwa amani
Elika
R.i.p mario
Dorophina
R.I.P corso
Lydia Emmanuel Magoti
Duu mungu amlaze mahala pema pepon 🙏
David Pere
R I P Corso umewafanyia Mambo mazuri inter
Issa
Rip mario
Caroline
Rest in peace
Khadija
R.I.P corso ukapumzike salama#meridianbettz
felister
mwenyezi mungu akuweke mahali pema peponi
Mwanaidi
Apumzike mahala pema
Povel
Rip fundiiiii wa mpra daima tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Genia Sikaluzwe
R,I,P mungu ampumzishe kwa aman daima atakubukwa
Zeiyana
r i p Mario corso tutakukumbuka daima
Gabriel
Daaah! R.I.P Mario Corso tunamkumbuka sana Kama pia muhasisi wa kuikuza club ya inter kipindi hicho kwan alipokuwa na umri mdogo sana alionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira kipindi hicho na kuonyesha mafanikio ya kuchukua ubingwa na umaarufu wake ulifahamika kutokana na utumiaji wa mguu wa kushoto baadae tukaja kuona vijana nao wakijitokeza kuonyesha uwezo wa mpira wakiwa na umri mdogo Kama pere ,maradona nk
warda
Daaaa siwezi msahau Mario Mwenyezi Mungu ampunzishe mahala pema peponi#Meridianbettz
Amiri Kayera
R.i.p mwamba
Njiku
Upumzike kwa amani mario carso na kwa umri alikuwa nao mario carso hatushangaii sana maana miaka78 ni mingi sanaa kwa wazungu,safii kwa uwezo ulionyesha ukiwa juventus tena kwa umri mdogo
Ernest
R.I.P Mario Corso You will never be forgotten!!!!!!!
Hamidu
Rip mario corso
Ester jackson
R I P morio cordo wote safari moja
Hope mwaikuka
Mbele yake nyuma yetu
isha
R.I.p mario.nenda.salama.
Theckla
Apumzike kwa amani
Frank Patrick
MUNGU ailaze mahala pema peponi roho yake
Salma
Apumzike kwa amani
Omary lukumbi
Duuu alale mahali pema mungu akampumzishe kwa aman
Samiah
Duuh pumzika kwa anani
Fatuma kasomo
Pumzika kwa amani
Tahiya
Pumzika kwa amani Mario ama kwa hakika umeacha historia kwa inter
Antony Luseno
Ni simanzi kubwa kwa familia na wadau wa inter,pumzika kwa amani Mario
Mwanahamisi
Kapumnzike kwa amani
Devotha
Rest in peace Corso
Rehema Dickson
Mungu akupumzishe kwa Aman utaishi mioyon mwetu daima
Mariam mtandama
😭😭😭😭
Emmy cleopa
Rip
Ester mmakasa
R.I.P Mario corso mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
Johnmary joel
Pumzika kwa amani hakika uwezi kusahulika#meridianbett
Samira
Mungu akupe pumziko jema Mario Corso🙏
Shafii
Atakumbukwa kwa mengi Sana aliyo yafanya clubun hapo R.i.p mario
Neema
Apumzike kwa amani
Sabrina
Maoni:Apumzike kwa amani
Asia Abdy
R.i.p Mario Carso
Angelina
R.i.p
Fatina mfingi
Rip