Mazungumzo zaidi yanahitajika kukamilisha pambano la Anthony Joshua (AJ) na Tyson Fury.
Pambano kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury ni moja kati ya mapambano yanayosubiriwa zaidi katika ndondi tangia michezo iliposimama.
Lakini taarifa juu ya pambano hili linasema kuwa AJ na Tyson wanapaswa kukubaliana mambo mengi zaidi ili kukamilisha pambano lao, hivyo mazungumzo juu ya pambano hili yanatarajiwa kuanza upya.
Kimsingi, AJ wamekubali dili la kupambana mapambano mawili mwaka 2021, wakati huo promota wa Fury amesema kuwa mambo kadhaa yatawekwa wazo pale yatakapothibitishwa.
Kumekuwa na sintofahamu juu ya makubaliano yaliyofanyika awali huku kukionekana kuna vitu haviko sawa katika makubaliano ya awali.
Promota Warren amesisitiza kuwa mazungumzo zaidi yanahitajika katika kumalizia makubaliano ya juu ya mapambano ya mabondia hawa.

“Hakuna makubaliano. Kilichokubaliwa ni kugawana 50/50. Kuna mambo mengi yanahitaji makubaliano. Namna pekee ya kufanya makubaliano ni kuwaweka wote pamoja na kwenye meza ya mazungumzo na kukubaliana.” -Promota Warren


Latifa juma mohamed
Inabid wakar chini waamue ni lipi lifanyike
Salma
Wakubaliane ili mambo yaende vizur
Theckla
Wamalize makubaliano watupe raha
JULIANA
Tunasubiri kwa hamu ilo pambano, maana enzi zile Tyson aliwaka sana sasa sijajua lile neno kwamba ng’ombe azeeki maini itathibitika au la!
Aziza mushi
Wakubaliane Mambo yaendeleee.
warda
wakubaliane tu sie tupate raha#Meridianbettz
Mwanahamisi
Wakubaliane ili Mambo yakae sawa
Zeiyana
Wakubaliane upangwe tena mpambano mzizi wa fitina huwishe mambo yaendelee
Dorophina
Cha msingi wamalize tu watu tulikuwa tunalisubilia hilo bambano htr
Magdalena
Nasubiria kumuona Tyson akitwaa ubingwa
Genia Sikaluzwe
Chamusingi wakubaliane Mambo yaendele Kama kawaida
Zuhura omary kindamba
Ni jambo zuri sana wakikubaliana na kila kitu kitakua vizuri
Zuhura omary kindamba
Inabidi wakubaliane ili kila kitu kiwe sawa mashabiki tunasubili tupate raha
Caroline
Tunataka ngumi hatutaki maneno maneno
Lydia Emmanuel Magoti
Wakubaliane tuu sisi tupate raha
felister
wakae chini wazungumze wapate muafaka
Elika
Sina cha kungoja zaidi ya ushindi kwa mmoja wapo
fatumakasom
Wamalizane tu mambo yaende
Ester mmakasa
Wakielewana mambo yatakuwa mazuri kati yao.
Ernest
Watu tunasubiri kwa hamu tuone ngumi jiwe na nani atakuwa mbabe kwa mwenzake
Khadija
Wakunaliane hili mambo yaende vizuri#meridianbettz
Rehema
Wakubaliane Mambo ya sawa
Adelta
Wakubaliane ili mambo yaende sawa
Mariam mtandama
Vizur
Shafii
Fury akithubutu kukanyaga kwenye Ring anadondoka round ya 5 tu
Sadick
Tyson Fury anaweza kushinda mpambano huo. Nilidhani Tyson atarudiana na Wielder kabla ya kufikiria kuwa na Bondia Mwingine yeyote#meridianbettz
Angelina
Si tunataka kazi tu
Johnmary joel
Maneno yasiwe mengi wakubaliane mchezo uendelee#meridianbett
Ester jackson
Ingekuwa jambo nzuri kama promote angekaa nao wakaweka makubaliano mazuri na kuandaa pambano .mashabiki tunatamani kuwaona miamba hao mana kila mtu anauwezo wake hivyo tunasubiri majibu kamili tuone gumu ya Tyson inauzito wa kumuangusha Joshua au atapigwa yeye .# meridianbettz
lombo
mambo ya masumbwi ayo
Gabriel
Inabid promota Warren akae nao vzur kuongea nao ili tunapate jibu sahihi maana mashabiki tunataman kuona gemu kal kutoka kwa wababe hao maana kwa upande wa Joshua tunamfahamu uwezo wake na jinsi alivyokuwa mkal kwenye kukwepa na kurusha ngumi na uwezo wa Tyson fury uwezo wake tunaujua na ngumi zake nzito hvyo hii gemu itakuwa hatar sana
#meridianbettz
farida ahmadi
Tunasubiri kwa hamu ilo pambano mashabiki tupo na tunalisubiri
Antony Luseno
Pambano subiriwa,tunataka tujue mbabe nani
Devotha
Tunasubiria kwa hamu pambano hilo tumuone nani mshindi
Leonard
Tunasubili Pambano
Hamidu
Team Joshua..naliaubili kwa hamu Sana Hilo pambano#meridianbettz
Njiku
Anthony Joshua ni mkali sana kwa ngumi zakulipwa na anarekodi zuri sana ila asimdharau fury maana tulishawai kushuhudia mpambano kati ya fury na Wilder ambao Wilder alichakazwa na fury kwa kishindo kikubwa sana mpka kocha wake kutupa taulo na kuwaachilia kuwa wamekili kuwa fury ndio mshindi nakuondoga na hela mchizi,ila kwangu mimi ni team joshua
Furahav
Tunasubili hayo mazungumzo
isha
Mambo ya ngumi haya acha tuone itakuaje nani atakua bingwa wa mchezo huu wa ngumi
Issa
Ni bonge la pambano fury anamshinda vizuri tu
nasra
Tunasubir matokeo
Asia Abdy
Tunasubir kwa ham
Hope mwaikuka
Waelewane tu wapige kaz
Saupha mohamed
Tunasubili kwa hamu ilo pambano linanza lini
Frank Patrick
AJ analazimisha kupigwa
Samiah
Tunalisubiri kwahamu tuone mtu akipigwa za uso
Mwanaidi
Waweke mambo sawa
Agness
Mpambano wa kibabe
Sabrina
Maoni:Tunasubiri tuone huo mtanange utakuaje wayapange watu waburudike
Omary lukumbi
Tyson furry mm ndio bingwa wangu wa masumbi
David Pere
Watoto wa baba mmoja ,watapigana kwa sababu ya kutafuta pesa na kujiwekea record kwenye masumbwi
Neema juma
Tunasubiri tuone
Evaluziga
Mpambano mkali sana
Povel
Habar njema
Amiri Kayera
Tunalisubir San ilipambano Kwa hamu
Emmy cleopa
Habari njema