Trent Alexander -Arnold miaka 21 & siku 261 ndiye mchezaji mdogo kabisa wa Liverpool kufunga bao kwa free-kick huko Anfield kwenye mchezo wa wa ligi kuu Uingereza tangu Robbie Fowler akifanya hivyo akiwa mwenye umri wa miaka 20 na siku 252 dhidi ya Manchester United mnamo Disemba 1995.

Alexander-Arnold alitokana na chuo cha mafuzo ya cha Liverpool na alimaliza mafunzo yake mwaka 2016, akiwa na umri wa miaka 18. mpaka sasa amecheza mechi zaidi ya 50. Aliiwakilisha Uingereza katika ngazi zote kutoka chini ya miaka 16 hadi chini ya miaka 21 kabla ya kuanza mwanzo wake mkuu mwezi Juni mwaka 2018.
AlexanderTrent Alexander-Arnold ameifungia Liverpool bao kwa free-kick kwa mara ya kwanza tangu alipofunga dhidi ya Watford mnamo Novemba 2018… Kabla ya usiku wa leo, Liverpool ilikuwa na free-kick 15 bila kufunga bao katika PL msimu huu, ikiwa ni pamoja na 10 kutoka kwa Alexander-Arnold.

Trent Alexander-Arnold amehusika moja kwa moja katika magoli 30 ya PL tangu kuanza mechi yake ya kwanza mnamo Agosti 2016 (magoli 5 & 25 Assists), angalau mara tano zaidi ya beki mwingine yeyote tangu wakati huo.


lombo
habari njema
Magdalena
Goli lilikuwa matata sana limezua kumzo kila Kona hongera sana kwake
Genia Sikaluzwe
Nihabari jema kwa mashabiki wa Liverpool
Theckla
Alitisha sana
Hamidu
Dogo anajua Sana ! Mkali wa assist pale Liverpool#meridianbettz
Leonard
Vizuri
Njiku
Alexander Arnold ni mchezaji mzuri sana licha ya kuonyesha uwezo wake kwenye timu yake ya klabu pia anafanya vizuri kwenye timu yake ya taifa safii kijana mdogo uwezo wa tembo tumeona maajabu yake alivyowabwaga barcellona na kuwatoa kwwnye kuwania ubingwa wa uefa champions league alipiga kona safii sana mpka kwa orlgi nakupachiga goli na kuwatoa barca kazi Alexander arnold
Lydia Emmanuel Magoti
Alitisha sana
Issa
Anord amekuwa mchezaji anaeimarika kadri muda unavyoenda kloop amemfanya awe mchezaji anaejiamini awapo uwanjani
Asia Abdy
Jamaa anawezaa
Furahav
Kijana yuko vizuri.
isha
Yuko vizuri sana lakini tumbuke yupo katika chama la wapiga kazi maana liverpool hawana mchezo kwenyen mpira
Hope mwaikuka
Kajitahid sanaa kijana
felister
goli lilikua hatari sana hilo
Dorophina
Goli lilikuwa la kibabe htr
Caroline
Hongera Alexander.keep it up.
Ester jackson
Alexander Arnold ni mchezaji mzuri sana licha ya kuonyesha uwezo wake kwenye timu yake ya klabu pia anafanya vizuri kwenye timu yake ya taifa safii kijana uwezo wa tembo
Gabriel
Miongoni mwa wachezaji wenye historia nzuri club ya Liverpool msimu wa mwaka 2016/20 lazma Alexander Arnold nae tumtaje maana tokea atokee katika ligi ya watoto na kuonekana na uwezo wake pia kujiunga na majogoo wa uingereza tunaeona mafanikio makubwa chengine
cha surprise msimu huu kutangaza ubingwa mapem
Hivyo Ni kitu cha kufurahisha sana 👍
# meridianbet Tanzania
Devotha
Hongera sana kwake Arnold
Ernest
Trent anakipaji cha hali ya juu sana, Mimi sio shabiki wa liverpool lakini namkubali sana
Frank Patrick
Future Captain …YNWA
Saupha mohamed
Anafanya vizuri sanaa
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Mwanaidi
Alevander anajitahidi sana nimchezaji mahiri
Sadick
Trent Alexander-Arnold ni mchezaji mzuri lakini sio mzuri kwenye kukaba, kuna haja kocha kumuchezesha namba 7#meridianbettz
warda
Dogo yupo vizuri#Meridianbettz
Sabrina
Maoni:Trent Alexander ni mchezaji mzuri
Omary lukumbi
Anold ana kipaji huyo dogo wala si wakumbeza na ni zao zur la.Liverpool ni kitu cha kujivunia
Edgar
namkubali sana uyu jamaa yani akiwa uwanjani ni mjanja mjanja sana na nilianza kumkubali kwenye nusu fainal msimu uliyo pita kama sikosei walicheza na barcelona…: so namkubali sana na pongezi kwa record nzuri.
Shafii
Anord ni kizazi kimya cha mabeki chipukizi ambao wanafanya makubwa Sana Liverpool Yuki vizuri sana
David Pere
Huyu dogo atakuwa mchezaji wa kwanza pale Liverpool kuweka record ambayo haitavunjwa kiulaisi kabisa
Fatuma kasomo
Anold anakipaji huyo dogo
Samiah
Jamaa alitisha sanaa
Elika
Dogo yuko vizur anastahili pongezi
Johnmary joel
Pongezi nyingi kwake#meridianbett
Povel
Habar njema
Amiri Kayera
Ni mchezaj wa kingereza mwenye kipaji sana
Salma
Yupo vizuri
Emmy cleopa
Habari njema
Tatu
Hizo ni habari nzuri