Ronaldo, Buffon Waweka Rekodi

Free kick ya Cristiano Ronaldo dakika 61, imemfanya kuwa mchezaji wa kwanza Serie A kufunga magoli 25 kwa klabu kwa msimu tangu 1961.

Ushindi dhidi ya Torino ulikuwa muhimu kwa mkongwe Gianluigi Buffon kuvunja rekodi ya kucheza mechi 648 za Serie A.

Paulo Dybala alianza kuitanguliza Juve kabla ya Ronaldo kusaidia goli la Juan Cuadrado.

Andrea Belotti alifunga goli moja kabla ya Ronaldo kuweka kambani goli huku goli la mwisho Torino walijifunga..

Ronaldo amefunga freekick 46 ngazi ya klabu, ikiwa 32 akiwa Real Madrid na 13 akiwa Manchester United.

Amekuwa mchezaji wa kwanza wa Juve kufunga magoli 25 kwa msimu wa Serie A tangu Omar Sivori mwaka 1960-61.

Rekodi ya Buffon kwa mechi 648th za Ligi Kuu ya Italia amevunja rekodi ya zamani ya Paolo Maldini.

Buffon, 42, amekuwa akicheza kwa nadra sana katika Serie A wakati huu kwani alitakiwa kusubiri tangu mwezi Disemba kuvunja rekodi hiyo.

47 Komentara

    Huyo ni zaidi ya Messi namkubali Sana winga.

    Jibu

    Ronaldo yuko vizuri siku zote na ndio maana mashabiki tunampenda sana maana kufunga goli 25 sio kazi ndogo

    Jibu

    Safii sana Christian Ronald uko juu kama jemedari mkuu wa Tanzania

    Jibu

    Ronaldo yupo vzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Ronaldo yupo vizur

    Jibu

    Ronald kiukweli anajuwa Sana mpira zaidi ya messi

    Jibu

    Ronaldo talent player

    Jibu

    Ronaldo yuko vizuri sana

    Jibu

    Ronaldo the best…

    Jibu

    Ronaldo kabali yao

    Jibu

    Ronaldo namkubali

    Jibu

    Ronaldo jembe

    Jibu

    Ronaldo jembe anajuwa kucheza nakili zawatu huyo

    Jibu

    Unbelievable kwa hawa wachezaji mambo wanayo yafanya na umri wao katika soka la miguu ni vitu vya kushangaza Sana wanastahili Sana pongezi.

    Jibu

    Mnyama Ronaldo ktk umri wa miaka 35 lakini bado moto wake si wa kitoto#meridianbettz

    Jibu

    Cr7 mnyama sikuzote anapambana
    Bigup kwake#meridianbettz

    Jibu

    Buffon katisha

    Jibu

    Cr7 namkubali sana yupo vizuri

    Jibu

    Pongezi kwa Buffon na CR7 Mnyamaaaaaaaaaa!!!

    Jibu

    Ronaldo ana umri wa kustaafu soka lakini huwezi kujua kwa jinsi alivyo na anavyojituma kwa kiwango kikubwa ,anafanya vitu ambavyo anatakiwa afanya mchezaji anaechipukia lakini utafikiri yeye ndo anachipukia

    Jibu

    Ipo poa sanaa hii

    Jibu

    Maoni:Cr7 mtu mbaya

    Jibu

    namkubali sana ronaldo anasifa zote

    Jibu

    Pongezi nyingi kwa Ronaldo pamoja na kuwa mchezaji mzuri lakini bado hajanishawishi nimkubali kama nimkubalivyo Messi

    Jibu

    Cr7 ni habari ingine

    Jibu

    Man of records CR7

    Jibu

    Wanastahili kupongezwa sana

    Jibu

    Duh hongera kwao Cr7 na BABU Buffon mikono 💯💯💯💯

    Jibu

    Cr7 record kwake kawaid

    Jibu

    Huyo ndo CR7 mtu mbaya.

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera mnyama cr7 huyu jamaa ana tisha ana zeeka na uwezo wake bado uko juu sana Juventus atakua bingwa msimu huu

    Jibu

    Cr7 ni hatari bado yuko vizuri sana

    Jibu

    Safiii sana Ronaldo

    Jibu

    Huyu CR7 Sasa analeta sifa maana kila alipopita anaacha kumbkumbu,Hispan kaacha record nzuri na haitavunjwa kirahisi Haya nako Italy kavunja record ya watu na kuweka yake yanii ni hatariiii sanaaa

    Jibu

    huyu mtu yeye kila anapogusa ni rekodi tu mzee fargie alifanya kazi kubwa sana

    Jibu

    Ronaldo hajawai kupoteza ubora wake.namkubali Sana

    Jibu

    Huyo Ni zaidi ya mess Ni wings mzuri sana

    Jibu

    Ronaldo Hajawahi Iacha timu Salama#Meridianbettz

    Jibu

    Ronaldo anajua mpira namkubali sana

    Jibu

    CR7 bado yupo vizur japo umri unamtupa mkono

    Jibu

    Jamaa hatari sana

    Jibu

    Cr 7 babalao hana mpinzani

    Jibu

    Cr7 yuko.vizur sana

    Jibu

    Habar njema sana 👍 kwa CR 7

    Jibu

    CR7 jembe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.