Lee Johnson Afungashiwa Vilago Bristol City.

Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Bristol city inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza, Lee Johnson amesimamishwa kazi kama kocha katika klabu hiyo.

Taarifa hizo zimethibitishwa na website ya klabu hiyo jana, muda mchache baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Nottingham forest kwa bao moja kwa sifuri.

Kocha msaidizi Dean Holden amepewa mikoba ya kuwa mwangalizi katika timu hiyo mpaka kocha mkuu mpya atakapo patikana.

Lee Johnson Afungashiwa Vilago Bristol City.

Bristol city imeshindwa kupata matokeo ya ushindi katika mechi zao 5 zilizopita ikiambulia vipigo mara 4 na kupata suluhu katika mchezo 1.

Bristol city inashika nafasi ya 12 katika msimamo ikiwa na alama 55, alama 10 kutoka katika nafasi ya kushuka daraja.

“Tunatambua nguvu na akili alizowekeza Lee katika miaka yote minne na nusu kufanya klabu hii iendelee, tunamshukuru kwa kazi yote akiyofanya, tutaendelea kukumbuka muda wote mzuri tulio kuwa pamoja.

“Ingawa, mafanikio katika mpira yanapimwa kwa matokeo na nafasi katika ligi, kamati inaamini mabadiliko katikika uongozi yanahitajika katika klabu ya Bristol City.” Mark Ashton ambaye ndiye mtendaji mkuu amezungumza.

46 Komentara

    Wanakazi ya kutafuta kocha bora ili aweze kuipandisha daraja timu

    Jibu

    Pole sana kocha Johnson sio kwamba umefanya vibaya katika timu ila ni mabadiliko ya kawaida na sheria kama hutaleta maendeleo katika timu basis utahitajika kuondolewa hizo ndio changamoto utapata sehemu nyingine ili umbambane vilivyo

    Jibu

    Ingawa mafanikio katika mpira yanapimwa kwa mtokea lee johnson akuna matokea yoyote yaliopatikana bristol city ni bola waangalie upande mwengine tu

    Jibu

    Pole sana bwana lee johnson kwa kufukuzwa hapo klabu lakini wala usiwaze kuna maisha mengine

    Jibu

    Pole sana kochaa utapata timu nyingine

    Jibu

    Pole sana kocha johnson#meridianbettz

    Jibu

    Pole Sana Johnson ili usijali baada ya hapo maisha mengine yata endelea

    Jibu

    Pole sana kocha

    Jibu

    Pole yake akatafute maisha mengine

    Jibu

    Duu pole yakee

    Jibu

    Duuh! Jaman pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    sad news

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole aisee

    Jibu

    Hatuwezi kusema ni mwalimu mbaya Laa hasha ila inawezekana hakuendana na falsafa ya clubuni hapo ila sio jambo La kukata tamaa akajaribu bahati yake club itakayo hitaji kandarasi take.

    Jibu

    Asante kwa update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Watalaamu wanasema ukiona mambo ktk Kampuni hayaendi badili meneja hivyo Bristol wamezingatia ushauri huu wa wahenga.Tusubri na kuona#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana ila wanakazi wakutafuta kocha mzuri hatakae weza kuongoza timu hiyo ili iweze kupanda daraja#meridianbett

    Jibu

    Pole usijali maisha popote

    Jibu

    Pole sana kocha Jonson ila kambi popote

    Jibu

    Maoni:Lee Johnson utapata timu nyingine

    Jibu

    Johnson anaonekana kuwa kocha mzuri ila uongozi wa klabu ya Bristol city inaharaka na mafanikio nia ya kucheze EPL ndio tatizo kocha huyo ndani ya miaka yote aliokuwa hapo hakufanikisha hilo

    Jibu

    Pole sana sema mambo mengine hayataki haraka jaman..

    Jibu

    Wangempa muda wa kujua namna ya kurekebisha matatzo kumfungashia virago si suruhisho

    Jibu

    So sad but ako na nafasi ya kuifundisha team nyingine na akaipa mafanikio tu

    Jibu

    Atafute maisha mengine

    Jibu

    Duh majanga kwl

    Jibu

    Pole sana Lee Johnson utapata timu ingine

    Jibu

    Ukocha unakazi sana.

    Jibu

    Kocha anaajiliw ili atimuliw

    Jibu

    God news

    Jibu

    Duuu hyo si jambo la kushangaza ila atapata tuu club nyingine akafundisha

    Jibu

    Soka Lina changamoto zake Nina Imani kwakuwa ni kazi yake atapata timu nyingine

    Jibu

    Duuh pole Sana kocha lkn kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi ,imani kubwa atapata timu nyngine.

    Jibu

    Bajeti yao ni mbovu kocha anaweza kufanya vizuri. Jibu ni hawezi wamemuonea

    Jibu

    katika kazi ambayo ni unpredictable ni hii ukocha tu

    Jibu

    Maisha popote Johnson usife moyo.utapata tu timu nyingine

    Jibu

    Pole Sana kocha utapata Tim nyingine

    Jibu

    Daaaa Pole Yake#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:pole sana kocha

    Jibu

    So sad

    Jibu

    Asikate tamaa mlango mmoja ukifugwa mwengine unafunguliwa

    Jibu

    Tunatambua nguvu na akili alizowekeza Lee katika miaka yote minne na nusu kufanya klabu hii iendelee, tunamshukuru kwa kazi yote akiyofanya, tutaendelea kukumbuka muda wote mzuri tulio kuwa pamoja.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Ni kocha mzur tatzo mfumo

    Jibu

Acha ujumbe