Beki bora wa dunia na klabu ya Liverpool Virgil van Dijk, ameliambia gazeti la michezo la mirror kwamba klabu ya Manchester city na Chelsea walitaka kumsajili.
Virgil Van Dijk amesema kabla ya kujiunga na Liverpool kutoka Southampton, kocha wa Manchester city pamoja na yule wa Chelsea walitaka kupata huduma yake.
Gazeti la mirror linataarifu, beki huyo wa kati wa timu ya taifa ya uholanzi alichagua kujiunga na Liverpool mwezi wa kwanza mwaka 2018 kwa ada ya usajili kiasi cha euro millioni 75 na kuwa beki mwenye gharama zaidi duniani.

Virgil van Dijk mwenye umri wa miaka 28, ametaja sababu za kuamua kuzitosa klabu za Chelsea na Man city.
“Kitu cha muhimu zaidi unachoangalia ni kocha – Jurgen Klopp ni sababu ya muhimu kwanini nilichakua kujiunga na Liverpool.”
Virgil van Dijk amedhihirisha kuwa beki bora akiwa Liverpool ambako ameisaidia timu yake ya Livepook kushinda ligi ya mabingwa ulaya, lakini kubwa zaidi ni kombe la ligi kuu nchini Uingereza ambapo hawakulipata kwa takribani miaka 30 iliyopita.


Caroline
Liverpool panakufaa
Mwanahamisi
Gud news
Zeiyana
Chelsea wasingeweza kumsajili huyu beki labda man Chester kidogo
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana panapo kuvutia mzee mzima
Rehema
Asante kwa taarifa
felister
safi umefanya uamuzi sahihi liver panakufaa
Sadick
Kabla ya VVD kuja Liverpool ilikuwa inaruhusu magoli mengi sana na kwasasa VVD amedhibiti hilo inapata matokeo mazuri#meridianbettz
Ester jackson
Virgil van Dijk beki huyu anatamba sana kwa sababu ya kucheza timu ambayo umechukuwa ubigwa Liverpool tu baada yakutokwenda timu nyingine ambazo zilikuwa zinawania saini take ajue bado hizo timu zina uwezo wa juu kuliko Liverpool iliyochukua ubigwa akumbuke kuwa ubigwa huwa tunapokezana Liverpool walikaa miaka 30 tangu waache kupata ubigwa huu ni juhudi walizoonyesha zaidi katika michezo ndio wameona mafanikio yao .&&meridianbettz
Nasra
Asantee kwa taarifa
Shafii
Ni bonge la beki kwa sasa ulimwenguni kote kila timu kubwa inatoa macho kwake ila maamuzi yake ni kiutumikia Liverpool ndipo anaamini atakapo pata mafanikio makubwa.
Franky
Cja ona bado beki kama huyu epl
Khadija
Livepool panamfaa#meridianbettz
Hamidu
VVD Pale EPL ndo beki Bora kwa Sana pamoja na Maguire#meridianbettz
Fatuma kasomo
Liverpool ndipo naamini atakapopata mafanikio makubwa
farida ahmadi
Virgil Dan jik ni beki mzuri Sana na ameisaidia Liverpool kwa kiwango kikubwa Sana na pia bd hana nafasi katika timu yake na Liverpool ilikuwa bahati kumpata beki huyu ilhali aliwatosa man city na Chelsea
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridian kwa makala
Ernest
Ulikuwa uamuzi sahihi sana kwa Van Dijk kuchagua Liverpool
Revina
Lover pool kabla ya kuja Virgil van Dijk ilikuwa inafungwa sana lakini alivyotuwa tu liverpool ikanyooka sana yaani kila shabiki akatamani kuishabikia liverpool na timu ambayo anaipenda
isha
Liverpool panakufaa
Issa
Ni safi ulichagua sehemu sahihi pamekufanya uchukue mataji muhimu sana
Sabrina
Maoni:Asante kwa taarifa
Dorophina
Alikuwa sahihi kwenda Liverpool anamchango mkubwa kwenye timu
Njiku
Virgi van dijk ni beki mzuri sana pia alichukua beki bora duniani ila sio kivile maana kuna mabeki kitasa kuzidi yeye asijiune kuwa yeye ndio smart kushinda wengine zali alilokuwa nalo kwa kuwa timu ilichukua klabu bingwa ulaya na kuwatosa Chelsea na man city mapendekezo yake
Angelina
Uamuzi wake ni mzuri yuko sahihi
Edgar
hata ivyo ajakosea maana ata alipoenda Ni pazuri na kapata taji pia kupitia Liverpool kwaiyo Ni mchezaji mzur sana..
Magdalena
Baki apoapo Liverpool kwingine kuna njaa tu
Frank Patrick
VVD amekuwa mchango mkubwa sana wa amani ya kipa na utulivu wa team kiujumla tayar anetulipa kiasi tulichomnunua Soton na tunadaiwa ilikuwa ni pesa ndogo sana ….YNWA
Samiah
Yupo sahihi nauwamuzi wake
Devotha
Pesa iliongea ila ulifanya chaguo sahihi pia Liverpool panakufaa sana
Povel
Gud information 👍👌
Omary lukumbi
Van dijk ni bek bora kwa sasa dunian amefanya makubwa ndan ya misimu miwili ana stahili sifa akiwa chini ya kocha wa kijeruman klopp
Furahav
Safi kijana kwa kulitambua hilo.
Amiri Kayera
Dau la Liverpool me ndo naon lililompendez
Saupha mohamed
Dau iloo
Theckla
Beki mzuri sana
Neema juma
Liverpool ndopakukalia
Latifa juma mohamed
Beki yupo fit Sana natumai akitua Liverpool atazid kupamba.
David Pere
Alifanya maamuzi sahihi kwa kuichagua Liverpool , na hatinaye ametimiza ndoto yake ya kubeba kombe la UEFA
mwakalosi
dau lake hata hivyo lilikuwa kubwa ilikuwa kamari tu
Theonestina
Liverpool wamepata bonge la beki.naimani watafika mbar
Evaluziga
Asanteni kwa taarifa
warda
Alijua ipo siku Liver watakuwa wakubwa#Meridianbettz
tumaini
Maoni:mimi naona abaki hapohapo liver
Salma
Alifanya maamuzi sahihi
Hope mwaikuka
Taarifa nzur
Mwajuma
Aliifanya uwamuzi sahihi liverpool panamfaa
Flomena
Liverpool panakufaa sana
Asia Abdy
Beki hatar
Gabriel
Liverpool iliyochukua ubigwa akumbuke kuwa ubigwa huwa tunapokezana Liverpool walikaa miaka 30 tangu waache kupata ubigwa huu ni juhudi walizoonyesha zaidi katika michezo ndio wameona mafanikio yao hivyo aache kujisfu kwasababu ya juhud sio uwezo wa bek Kwanza ushindi n wamezani tu