Chelsea Wapata Pigo kwa Kante.

London-Uingereza, klabu ya Chelsea wamepata pigo baada ya mchezaji wao tegemeo Ngolo Kante kupata majeraha katika mchezo wao wa jana.

Ngolo Kante alianza katika mchezo wa jana, Chelsea akipata ushindi wa magoli 3-0 lakini hakufanikiwa kumaliza baada ya kutolewa dakika ya 78 na nafasi yake kuchukulia na Billy Gilmour.

Majeraha ya Kante yanampa kocha Frank Lampard changamoto ya chaguzi kwenye nafasi hiyo kuelekea mchezo wao wa jumanne dhidi ya Crystal Palace.

Chelsea Wapata Pigo kwa Ngolo Kante.

Olivier Giroud, Willian na Ross Barkley wote wakifanikiwa kufunga katika mchezo wa jana na kuisaidia timu hiyo kurudi katika nafasi ya nne baada ya kushikwa kwa muda na Manchester United.

β€œNgolo Kante amepata maumivu katika nyama za paja (hamstring injury) tunatarajia ni majeraha madogo, hizo ndizo taarifa nilizonazo kwa sasa.” amesema Lampard.

Jorginho anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ngolo Kante, hajafanikiwa kucheza mchezo wowote toka ligi kuu ya nchini Uingereza iliporejea. Billy Gilmour anaweza kuwa chaguo jingine baada ya kuingia akitokea benchi katika mchezo dhidi ya Watford.

Akipoulizwa kuhusu Jorginho, Lampard amesema kwa ufupi β€œJorginho yupo katika mipango yangu.”, kabla ya kutoa mawazo yake kuhusu Ngolo Kante.

 

50 Komentara

    Ngolo Kante hana mbadala, ana vitu vya pekee yake uwanjani,mtibuaji wa mipango ya timu pinzani#meridianbettz

    Jibu

    Habari mbaya sana kwa Chelsea

    Jibu

    Jamani habari mbaya kwa chelsea#meridianbettz

    Jibu

    Daaa! Kante ni mchezaji muhimu Sana pale Chelsea.. soon utakuwa sawa mkata umeme#meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki tunamuombea hapone haraka#meridianbett

    Jibu

    Duuuh!

    Jibu

    Duh asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Kweli hili ni pigo kwa Chelsea maana ngolo kwa Chelsea ni Kama moyo anapoumia Kama hivi Chelsea inakua na wakati mgumu kwenye sehemu ya kiungo istoshe ngolo kwa msimu Huu hakua na wakati mzuri,hali iliyo pelekea kuandamwa na majeraha ya Mara kwa Mara.

    Jibu

    Get well soon ng’oro kante

    Jibu

    Pigo kubwa kwa Chelsea sana mana ni hatari kwa timu kwa ujumla haswa kwa wapizani wetu watapata mwanya wa kupita kirahisi wauguzi fanyeni matibabu ya ngolo kante arudi tena ulingoni mana hana wakuweza kuziba pengo lake

    Jibu

    Hii ni habari mbaya kwa Chalsea ,Kocha Lampard ana wakati mgumu sana sababu Kante ana vitu vyake adimu ambavyo kuwa navyo mchezaji mwingine ni ngumu

    Jibu

    Ni habari mbaya Sana kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    Kante hana bahati msimu huu amekaa benchi muda mrefu sasa tena majeraha

    Jibu

    Duu pole kante mungu atakufanyia uwepesi utapona uludi kwenye Hali yako ya upambanaji

    Jibu

    Pole Kante

    Jibu

    Pole sana kante unabahati mbaya sana

    Jibu

    Chelsea imepata pigo hasa kwa kipindi hiki cha mpambano wa

    Jibu

    sad news very sad news

    Jibu

    Maoni:Daaah pole sana Kante

    Jibu

    Kante ni kiungo mzuri sana pale Chelsea anakupa vitu vitatu3 kama assits,anakaba pia anafunga Dah huyu jamaa noma sana kuumia kwake ni pigo sana kwa wapenda soka na sio Chelsea kwanini na sema hivyo maana lampard alionyesha kutomuhitaji kiungo huyo nyota wa Ufaransa so kuumia kwa kante sio kama pigo kwa Chelsea maana waliwawake sokoni mastaa kibao kama williams,Pedro na konte leo kaumia unasema pigo

    Jibu

    Pole yake kante

    Jibu

    Pigo kubwa kwa mashabiki wa chelsea

    Jibu

    Daah pole sana kante ni moja ya mapambano.

    Jibu

    Habari mbaya Sana kwa Chelsea

    Jibu

    Kante ni ngome kubwa Chelsea kuumia kwake kutafanya ipwaye katika mbio za Top 4 kwani Manchester Utd gari lishawaka na hawawezi kukubali kukosa Top 4

    Jibu

    Bado wana watu hawa chelsea ni maamuzi ya coach tu akipange vipi kikosi chake formation gani aitumie kwa wakati gani bila ngolo ….chelsea watakuwa wapinzaninwapya next season

    Jibu

    Pole sana kante utapona haraka

    Jibu

    Hpr mbaya kwa chelsea

    Jibu

    Get well soon πŸ™πŸΌπŸ˜˜πŸ™

    Jibu

    Ila chelsea haitoweza kuyumba mana kuna wachezaji wengi pale chelsea.

    Jibu

    Get well soon kante

    Jibu

    Ngolo kante ni kiungo mkbaj hatar sana hilo ni zaid ya pigo Chelsea

    Jibu

    Pengo kwao ila cc man u tunafalah ili ahalib

    Jibu

    Daah pole yaooo

    Jibu

    Daa pengo kubwa Sana kwa Chelsea

    Jibu

    Duu pole yao

    Jibu

    Ngolo kante mchezaji mahiri Sana,get well soon.

    Jibu

    Kante mzee wa majanga kila kukicha mwishowe atasitafu kubla ya wakati wake

    Jibu

    Duuuh Mambo yamekuwa mabaya kwa Chelsea

    Jibu

    hapa lazima tuwe wachawi asipone haraka man u tufanye yetu

    Jibu

    Pole kante

    Jibu

    Mambo ya kuumia yanatia sana hasira #Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:pole yake kante mambo yanakuwa magumu kwa Chelsea

    Jibu

    Jamani ni pigo kwa Chelsea kwa kuwa kante anafanya mambo makubwa akiwa uwanjani.

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wake

    Jibu

    Ugua pole kante

    Jibu

    Pole sana kante

    Jibu

    Pole Kante na kwa club nzima

    Jibu

    pole sana kante

    Jibu

    Ngolo kantejamaa noma sana kuumia kwake ni pigo sana kwa wapenda soka na sio Chelsea kwanini na sema hivyo maana lampard alionyesha kutomuhitaji kiungo huyo nyota wa Ufaransa so kuumia kwa kant

    Jibu

Acha ujumbe