Liverpool Kumkaribisha Aston Villa Anfield Leo EPL

Liverpool wanacheza mchezo wao wa kwanza wa nyumbani Anfield wakiwa MABINGWA wa Ligi. Kikosi cha Jurgen Klopp kilichezea kichapo kizito kwenye mchezo wake wa mwisho Alhamisi hii, kikipoteza 4-0 mbele ya Man City.

Klopp hakuwa mtu mwenye furaha baada ya filimbi ya mwisho na kuna kila sababu kwamba timu yake itatafuta kurejea kwa makali kwenye mechi hii dhidi ya wachovu Aston Villa ambao jahazi lao linazidi kuzama.

Villa, wako katika eneo hatarishi la kushuka daraja, wanahitaji walau pointi mbili kukaa katika eneo salama, ingawa ni ngumu sana kutarajia wapate matokeo mbele ya Liverpool, ambao wana rekodi ya USHINDI wa 100% wakiwa Anfield msimu huu.

Umekuwa msimu mgumu kwenye EPL kwa kikosi cha Dean Smith, ambao bado wanatafuta ushindi wao wa kwanza tangu ligi irejee, wamepata sare moja na kupoteza mechi 2. Kuna kila dalili za chama letu la Villa kushuka Championship pamoja na Norwich na Bournemouth, ili kubaki EPL wanahitaji matokeo mazuri kuanzia wikendi hii.


Hizi hapa rekodi za Mechi 5 zilizopita ambazo Liverpool amekutana na Aston Villa kwenye   mashindano yote:
Villa 5-0 Liverpool
Villa 1-2 Liverpool
Liverpool 6-0 Villa
Liverpool 3-2 Villa
Villa 2-1 Liverpool

44 Komentara

    Viva Liverpool hata mmfungwe kumi bado mashabiki tuta baki nanyie tu …hasanteni#meridianbet kwa habar nzuri mmnazo tujuza

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari njema

    Jibu

    Bado ubingwa ni wa liverpool#meridianbett

    Jibu

    Liverpool wapo vizuri

    Jibu

    Aston villa wanawakati mgumu Sana kila mechi kwao inayokuja ni jiwe duh.

    Jibu

    Aston villa Kila mechi fainal lasivyo watashuka daraja championship hiyo inawangojea#meridianbettz

    Jibu

    Yaani hii mechi ya Leo ni kali Sana Aston vila wanna kibarua kigumu Sana Leo maa a wanakutana na mabingwa Liverpool lakin ngoja tuone kwnz

    Jibu

    Liverpool leo wana hasira kali sana ,Aston villa wajipange

    Jibu

    Aston villa wanatia huruma

    Jibu

    Liverpool wataendeleza huruma kama ilivyokuwa kwa Mancity??!!!!

    Jibu

    Liverpool wako vizuri sana hata kama wafungwe

    Jibu

    Villa wakaze sana ushindi ni muhimu sana
    Itawasaidia katika kushuka daraja

    Jibu

    Liverpool kwa sasa wako vizuri

    Jibu

    viva sama goal viva💪

    Jibu

    Namuona Samata ligi ya championship msimu ujao. Sioni nafasi kwa Aston Villa kushinda mechi hii lakini kwasasa Liverpool haina cha kupoteza#meridianbettz

    Jibu

    Rekodi inaonyesha astonvilla wanajitahidi wakikutana na liverpool lakini hii liverpool ya ubingwa ya moto aisee pia game hii liverpool anaumuhimu nayo maana kashakuwa bingwa balaa lipo kwa ndugu yetu mbwana sammata mtanzania anayekipiga hapo aston villa akitokea gent kama timu itashuka itakuwa vigumu sana kwa sammata kuangaliwa na watanzania maana watanzania wengi wanafatilia EPL,wanatakiwa wajitume sana ili kujikwamua kutoka kwenye kushuka daraja maana hawapo pabaya sana kwa kuwa waliokuwa chini karibia wote wanautofauti wa arama moja moja au magoli kama villa atashinda leo itakuwa poa sana maana atatoka chini na kupanda juu ya wale watatu watakao shuka

    Jibu

    Bado liver anastahili ubingwa Mambo yasiwe mengi tu hapo

    Jibu

    Kwa recod hiyo villa anakazi ya ziada kumfunga liverpool

    Jibu

    kwa mechi hii sijui Kama Liverpool hatamuacha mtu salama maana Kama makala inavyo jieleza hapo kwamba Liverpool ametoka kuchezea kichapo na man cty hvi juzi.
    kwaiyo hapo Aston Villa ningumusana kupata ushindi mbele ya Liverpool labda iwe tu mabadiliko ya mchezao..

    Jibu

    Liverpool wapo vizuri bado Wana stairi ubingwa

    Jibu

    Maoni:Bingwa ni bingwa tu hata hivyo sio mechi muhimu sana kwa mabingwa liverpool kazi kwao Aston villa

    Jibu

    Vila leo anampiga Liverpool 2 kwa sababu Liverpool hamna wanachokitafuta tena wakati Villa wanatakiwa kupigana kufa na kupona washinde ili wasalie Ligi kuu

    Jibu

    Kila la kheri Villa kwa niaba ya kumshangilia mtanzania mwenzangu

    Jibu

    Hata kama akifugwa Liverpool bado ubigwa wake mana historian inaonyesha Aston villa wakikutana na Liverpool huwa wanajitahidi sana

    Jibu

    Namuombea Villa kupata ushindi

    Jibu

    Kwa ajili ya Samata naiyombea ushindi Aston Villa

    Jibu

    Don’t miss SAMATTA goal & SALAH mo

    Jibu

    Hii si.ya kukosa villa watakua na kibarua kikubwa kuzuia mashambuliz ya Liverpool

    Jibu

    Record zinaonyesh mmoj akimkuta mwenzie anambonda sasa naon kipond cha Aston villa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Taarifa mzuri

    Jibu

    Liverpool anashinda hii mechi Nampa ushindi moja kwa moja

    Jibu

    Jamani Liverpool wanajua kunifurahisha

    Jibu

    Sijui mechi imemalizikaje maana ilikuwa unaoneka ngumu kila upande

    Jibu

    dah maskini samatta njia ya kwenda sky league nyeupe sana

    Jibu

    Jamani Nimeikosa hii Mechi#Meridianbettz

    Jibu

    Liverpool wapo vizuri sana Aston villa wajipange wababe wawili wanakuta

    Jibu

    Kazi ilikuwepo

    Jibu

    Balaa

    Jibu

    Mabigwa wameendeleza ubigwa wao

    Jibu

    Leo ndio leo balaaa zitoo

    Jibu

    Ilikua mechi nzuri

    Jibu

    Liverpool wako vzur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.