Kocha wa Young Africans (Yanga SC) Luc Eymael ameweka wazi malengo yake msimu huu ni kuhakikisha wanamaliza nafasi ya pili katika Vodacom Premier League na kutwaa Kombe la FA.
Miamba ya Mitaa Jangwani walipoteza nafasi ya pili baada ya kutoa sare na Azama FC kuifunga Singida United 7-0 nakufanya kuwa na alama 61, alama moja zaidi ya Yanga.
Japo, mechi nne zimesalia kumalizika kwa msimu, kocha Mbeligiji ametanabaisha umuhimu wakumaliza nafasi ya pili, amesisitiza lengo hilo kwa wachzaji wake na lazima wapambane kufikia malengo hayo.

“Malengo yangu msimu huu yamebaki yale yale, lazima tumalize nyuma ya Simba na hakuna njia mbadala,” Eymael alisema Jumatano wakati wakijiandaa na mechi ya Ligi dhidi ya Kagera Sugar Alhamisi.


Amiri Kayera
Malengo mazur San
Magdalena
Nafasi ya pili wawaachie Azam
Tatu
Kila la kheri wana jangwani
Hope mwaikuka
Sio mbaya pia
felister
safi malengo mazuri
Caroline
Asante meridianbet Kwa taarifa
Dorophina
Iko poa sana hii
Angelina
Kila kheri
Gabriel
Kukwel mashabiki wa yanga waliofanya maamuz mazur kumchukua kocha wa kimataifa ili aweze kuwasaidia timu ya wananchi Kwanza ukiangalia historia ya Luc Eymael alizaliwa Septemba 20 mwaka 1959 nchini Ubelgiji, ambapo alianza kucheza soka mwaka 1975 katika klabu ya Royal Star Fléron FC ya ligi daraja la nne nchini Ubelgiji.
Alianza kazi ya kufundisha soka mwaka 1999 katika klabu ya Lierneux ya ligi daraja la tano nchini Ubelgiji, alipata leseni ya ukufunzi ya UEFA Pro mwaka 2007. Klabu alizofundisha barani Afrika ni pamoja na AS Vita ya DR Congo, Missile ya Gabon, MC Oran ya Algeria, AFC Leopards (Kenya), Rayon Sports (Rwanda), Al-Merrikh (Sudan), Polokwane City na Free State Stars za Afrika Kusini.
Amefanikiwa kushinda ubingwa wa ligi katika klabu za AS Vita, Missile, AFC Leopards, Rayon Sports na mafanikio aliyonayo katika michuano ya vilabu barani Afrika ni kufika hatua ya pili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika hivyo basi napenda kumuita kocha wa kimataifa na mzoefu me naamin huyu kocha ata apewe wauza mitumba awafundishe na mwez mmoja na wakutane na timu Kama Simba lazma wauza mitumba watashinda
Theckla
Kila kitu kinawezekana ni kutia juhudi tu
isha
Juhudi zinahitajika hakuna linaloshindikana
Franky
Safi sanaaa
devotha
ni malengo mazuri sana kwa msimu huu ila msimu ujao usikubali kumaliza ukiwa nafasi kama hii mashabiki wanataka kuona timu ikibeba kombe la VPL
Issa
Yanga nafasi ya pili itaikamata kwa mechi zilizobaki inabidi ishinde kwa idadi kubwa ya magoli ili ifikie nafasi hiyo
Ally mohamedi ally
Ipo vizur sana
Shafii
Ni jambo la kujituma sio mchezo mchezo.
Janeflora malisa
Vizur sana
Samiah
Kilala kheri
neema hassan
Kila la kheri yanga..
Ester mmakasa
Safi sana yanga kwa kujiamini kiasi hicho ,kila lakheri.
Hamidu
Asante update za michezo
Omary lukumbi
Kila la kheri kocha tuna tarajia kuona kikosi cha yanga kikisonga mbele
Ester jackson
Safiiii sana kocha ndio tunataka mambo hayo haswa sisi mashabiki tunataka timu ya yanga ifanye vizuri hata kama tumekosa nafasi ya kwanza ila ya pili no muhimu sana mana wana simba wanajiona wamekamilika kuliko sisi .kila la heri yanga
Fatuma kasomo
Kila la kheri yanga
Samira
Yanga wameishiwa haoo
Rehema
Hii habari mzuri sana
Aziza mushi
Habari njema.
warda
Ata wakimaliza nafasi ya pili bado sio mabigwa#Merianbettz
Adelta
Ni Jambo jema na azidi kuongeza
Juhudi
mwajuma
Yanga hanma jipya nafasi yapili muipatewapi nyie #Meridianbettz
Mariam mtandama
Safi sana
Khadija
dah!!juhud zinahitajika akuna mjadala#meridianbettz
Njiku
Good news
Saupha mohamed
Good news
Asia Abdy
Ni maamuz mazuri
Ernest
Wakulungwa hii kweli jamani wazee wa bakuli kumaliza nafasi ya pili???!!!
Sabrina
Maoni:Hii habari nzurii
Furahav
Yanga majanga tu.
Salma
Kila la heri chama langu
David Pere
Good news
Leonard
Jambo zuri
Zeiyana
Taarifa nzuri kwa wana yanga wachezaji wajitume kwa mechi zilizo salia.
Lydia Emmanuel Magoti
Nijambo jema wazidi kuongeza juhudi