Juventus vs Sassuolo: Juventus wametoka kushinda mechi zao tatu dhidi ya timu zilizopo kwenye fomu nzuri, na Sassuolo anaingia kwenye orodha wakitarajia ushindi.
Juventus wanaendelea kusalia kileleni kwa tofauti ya pointi 8 zaidi. Matthijs de Light na Daniele Rugani watajenga safu ya ulinzi ya Juve ambao wanatarajia kumkosa Bonucci.
Danilo atachukua nafasi ya Juan Cuardrado kama beki wa kulia, wakati Blaise Matuidi akitarajiwa kumpisha Miralem Pjanic kama mmoja wa mabeki watatu wa kati.
Kwa upande wa Sassuolo wao hawatakuwa na beki Rogerio baada ya kupata jeraha mazoezini. Sassuolo wapo kwenye fomu nzuri zaidi wakiwa wameshinda mechi zao 4 na kutoa sare mechi moja, katika mechi tano zilizopita.
Juventus wao wameshinda mechi tatu, sare moja na kupoteza mechi moja katika mechi zao tano zilizopita.
Juventus vs Sassuolo, Vikosi
Sassuolo: Consigli; Muldur, Ferrari, Chiriches, Kyriakopoulous; Locatelli, Magnanelli; Berardi, Djuricic, Boga; Caputo
Juventus : Szczesny; Cuadrado, De Ligt, Rugani, Danilo; Bentancur, Pjanic, Rabiot; Bernardeschi, Dybala, Ronaldo
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


David Pere
Hii mechi kwa mtazamo wa kawaida tunaweza sema ni nyepesi kwa Juventus lakini ni ngumu kuliko maelezo maana haqa sassuolo wanataka kukimbiza kushuka daraja
Sadick
Hamu yangu kuona moto ya CR7 kuona anaendelea kuvunja record ya Juventus kufunga magoli mengi ktk msimu mmoja#meridianbettz
Fatuma kasomo
Dah natamani ninone cr7 kama ataweza kua mfungaji bora kwnye lini ya italy
Zuhura omary kindamba
Natumini cr7 atafanya kazi yake vizuri
Salma
Hapa kazi ipo!
Zeiyana
Nafasi nyingine ya cr7 kucheza na nyavu.
Ester jackson
Karata yangu mimi ipo kwa Christian Ronaldo nafikiri hawezi kuniangusha
Angelina
Cr7 naamini atafanya maajabu
felister
Ronald Ronald Ronald plz nimekuita mara 3 usinichanikie mkeka wangu tafadhali
Khadija
Mpira dakika 90 maneno mengi mashabiki wataongea mwisho wa siku kimya#meridianbettz
Dorophina
Hii mechi si ya mchezo ndani cr7 Mambo yatakuwa moto
Flomena
Danilo atachukua nafasi ya Juan Cuardrado kama beki wa kulia, wakati Blaise Matuidi akitarajiwa kumpisha Miralem Pjanic kama mmoja wa mabeki watatu wa kati.
Adelta
Ronald Yuko vizuri
Namkubali akiwa uwanjani
Elika
Nina imani na juventus
Magdalena
Juventus kama imejipanga vyema itashinda mechi hii
Genia Sikaluzwe
Mpira dakika90 Kila kitu kitajulikana utakapomazika
Ally mohamedi ally
Kama namuoma cr 7
isha
Ronaldo yuko vizuri hana mpinzani
mwajumah
Kazi ipo hapo#Meridianbettz
devotha
ubashiri wangu leo ni kwa juventus lazima ashinde
Zeiyana
Nafasi nyingine ya cr7 kucheza na nyavu.
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Warda
Apa Juve wananikosha sana
sabrina
Asante kwa taarifa
Issa
Cr 7 wanyanyue tena leo sassuolo wateke tu ubingwa unasubiriwa
Theonestina
Juve lazma ashinde
Gabriel
Mechi kal sana 👍
Janeflora malisa
Kazi ipo
Povel tz
Don’t miss
Amiri Kayera
Juve anashinda
Saupha mohamed
Juv win
Shafii
Ni wakati wako sasa cr7 kucheka na nyavu.
neema hassan
Mtanange wa hatarii
Frank Patrick
Nilitegemea sana haya matokeo tena hata kufungwa Juve ila milawama yangu yote kwa Lazio na matokeo yao pia
Evaluziga
Kama namuonea cr7
Tatu
Vile kama namuona cr7 akifanya yake
caroline
Sassuolo wapo kwenye fomu nzuri zaidi ya kushinda
Lydia Emmanuel Magoti
Apo Juventus wananifurahisha sana
Aziza mushi
Emechi Kali Sana💪⛹️
Ernest
Juventus wameanza kushikwa mashati sasa
Samira
Mechi itakua ngumu hii leo
Njiku
Juve wapo poa sana na ndio bigwa wa seriaA
Omary lukumbi
Cr7 ndio sehem ya kuongezea magoli yake
Theckla
Mkeka wangu Nampa juve anashinda
mwakalosi
juventus wanaidhalilisha Jersey yao sasa hivi
lombo
saf
Rehema
Hii gemu ngumu atar
Samiah
Game ngumu sanaa
Nasra
Nice