Lille, RC Lens Wataka Saini ya Muleka

Klabu yq Ligue 1 nchini Ufaransa, RC Lens, walituma ofa rasmi ya kumsajili mshambuliaji wa Klabu ya TP Mazembe, Jackson Muleka lakini ofa yao ilipigwa chini baada ya kuwa ni ndogo mno kwa klabu na mchezaji.

Hakuna Shaka kwa Muleka ni mmoja kati ya vipaji bora zaidi barani Afrika baada ya kuwa na msimu wa kuvutia na TP Mazembe ya DR Congo, baada ya kufunga mabao saba katika mechi 10 za Ligi ya Mabingwa ya CAF msimu huu na mabao 12 kwenye Ligi kuu ya DRC, pia ndiye Kinara wa mabao katika Michuano hiyo mikubwa ya vilabu Afrika.

Kwa sasa Muleka anathaminiwa karibu €2M lakini Klabu hiyo ya Ligue 1 ilitoa €100, 000 kupata mchezaji huyo kwa msimu mmoja kwa mkopo na chaguo la kununua kwa €300, 000, Kulingana na ripoti hiyo, Lens pia ilitoa mshahara kwa karibu €3000 ambao umechukuliwa kuwa mdogo sana kwa mchezaji na wakala wake.

Kwa Mara nyingine tena Klabu kutoka Ufaransa, Lille imefungua mazungumzo na TP Mazembe juu ya uhamisho wa Jackson Muleka katika dirisha lijalo la uhamisho. TP Mazembe haitopokea ofa chini ya Euro 1M. Imeripotiwa kuwa Muleka kapokea ofa nono kutoka Lille, anasubiri tu ruksa kutoka kwa Mazembe kama watapokea ofa ya Lille.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

40 Komentara

    Mafanikio ni muhimu sana kwa kila mchezaji ni bahati sana kwenda lille

    Jibu

    Tp mazembe clabu ambayo hinakuza sana vipaji vya wechezaji tumeona mbwana samata ametokea pale hiyo hitakua ni moja ya mafanikio yake lille kila la kheri

    Jibu

    Mafanikio ni kitu muhimu kwa kila mchezaji#meridianbettz

    Jibu

    Tp mazembe ni clabu amabayo inahitaji pongezi nyigi sana kwasababu ya kutoa vijana wenye vipaji kama vile samata na sasa ivi tunamuona lille naye kama ivyo

    Jibu

    muleka yupo vizuriii

    Jibu

    Ni vizuri km amechaguliwa kwenda lille

    Jibu

    Tp mazembe mana vipaji vingi kama wamemshindwa huyo wajalibu kwa mwengine

    Jibu

    Mafanikio ni mazuri sana ktk uchezaji

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Mafanikio nikitu kizuri kwamchezaji

    Jibu

    Mafanikio ni jambo jema Sana kwamchezaji

    Jibu

    Kila mchezaj anataka maendeleo Ili malengo yatimie

    Jibu

    Muleka ni mmoja kati ya vipaji Bora zaidi barani afrika

    Jibu

    Mazembe imekuwa na bahati kuuza wachezaji nje. Endapo Jackson Muleka atauzwa ni mafanikio ya timu ya TP Mazembe#meridianbettz

    Jibu

    Twende tukawajaze waafrika kwao huko na tuwaonyeshe tulivyo mahiri ….naamini ataenda kufanya vizuri

    Jibu

    Ipo poa hii safii

    Jibu

    Mafanikio ndo kila kitu katika mchezo

    Jibu

    kila mchezaji anahitaji mafanikio

    Jibu

    Mafanikio Ni kitu muhimu sana
    Kwa mchezaji ,na hata kwa mtu yoyote
    Akipata mafanikio anakuwa na bidii ktk kazi iko poa sana

    Jibu

    Habar njema ihi

    Jibu

    Muleka kaonyesha kiwango kizuri sana

    Jibu

    Ni jambo zuri kwa Jackson Muleka ni mwanzo mzuri wa yeye kupata nafasi ya kucheza soka la ulaya

    Jibu

    Habari nzur hii

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    Duh noma sana hiiiii

    Jibu

    Kipaji chake kinamfanya awe juu zaidi yuko vzr sana

    Jibu

    Tp manzembe ni club kutokea Kongo ila Ina mafanikio makubwa Sana tena Sana hadi inafikia hatua ya kuuza wachezaji wake ligi za nje hili inapaswa watanzania tujufunze katika vilabu vyetu na sio kila siku majungu ya club na club hatutafikia mafanikio Kama haya.

    Jibu

    Kipaji kinajiuza

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Tp mazembe wamekuwa na bahati Sana kuuza wachezaji ulaya na kwingineko

    Jibu

    Kweli mazembe wanatisha maana wao wachezaji wao wanawauza ulaya tu na so hapahapa Africa

    Jibu

    Tp mazembe ni club ambayo inakuza vipaj zaid kwa wachezaj wetu wa kiafrica hata ndg yetu mbwana samatta alikuzwa na kuonekana na genk ya ubelgiji na kumsajili mpaka sasa yupo epl pongez kwao

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwa TP mazembe

    Jibu

    Saf sana

    Jibu

    Muachieni aende tu akapambane.

    Jibu

    Mazembe inasifika wa kukuza vipaji

    Jibu

    Lile nao wanahangaika#Meridianbettz

    Jibu

    Habr njm

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.