Winga wa Chelsea Pedro Rodriguez amefanyiwa upasuaji wa bega wakati akitajwa kuwa kwenye maandalizi ya kuhamia Roma. Nyota huyu aliteguka bega kwenye mechi ya Fainali ya FA waliyopoteza dhidi ya Arsenal.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Pedro alibainisha kuwa upasuaji wake ulifanikiwa.
“Upasuaji umeenda vizuri, nitarejea hivi karibuni. Ilikuwa vibaya sana kutokushinda Kombe la FA. Nashukuru nyote kwa sapoti yenu.” -Pedro alichapisha kwenye ukurasa wake.
Wakati mkatababa wake na Chelsea ukiwa unaelekea ukingoni, staa huyu anatajwa kuwa yupo tayari kujiunga na Roma kwa mkataba wa miaka miwili. Taarifa zingine zinasema kuwa mechi ya fainali dhidi ya Arsenal ambayo walipoteza kwa kichapo cha bao 2-1 ilikuwa ndiyo mechi ya mwisho ya staa huyu pale Chelsea.
Wakati kikosi cha Chelsea kikiwa katika maandalizi ya gemu dhidi ya Bayern Munich, Lampard atalazimika kuingia dimbani bila staa huyu pamoja pia na Pulisic na Cesar Azpilicueta wote wakiwa wanauguza majeraha.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Angelina
Asante kwa taarifa#meridianbet
Ernest
Pedro amekuwa na pancha za ajabu sana na kumfanya kutofurahia maisha yake ya soka
Sauda
Pole Pedro, utapona..
felister
Get well soon
Lydia Emmanuel Magoti
Pole Sana kwajeraha lako pedro
Antony Luseno
Pole sana kwa hope ata recover soon
aisha
Pole sana pedro kwa kupata ajali na kufanyiwa upasuaji ila tunaamini kuwa utapona na hali yako itarudi kama zamani
Magdalena
Duh pole Sana Pedro recover quickly
Tatu
Pole Pedro mungu atakusaidia
Zeiyana
Soon as possible atakaa sawa.
Dorophina
Pole yake Pedro kwakua matibabu yamefanyika atakuwa sawa soon
Ester jackson
Pedro ni mchezaji nzuri sana ingawa amepata maumivi lakini bado yupo pamoja na kikosi chake ingawa bado hazijakuwa taarifa umuhimu kuwa ataondoka au atabaki bado kwani sijaona kama kunatimu ambazo zimeonyesha uhitaji wake sana hivyo tunasubiri tu kuona kama atabaki au ataondoka ingawa mkataba wake umeisha.
Salma ngende
Pole kwake
Gabriel
Daaah! MUNGU amsaidie sana kiungo huyo mzur wa Chelsea apone mapema kwa club ya Chelsea na mashabiki wanamuhitaji kikosin
# meridianbet Tanzania
Furahav
Pole sana.
Fatuma kasomo
Dah pole sana
Issa
Pedro ni mzuri na majerah yametokea kumuharibia sana
Hope mwaikuka
Ugua pole
Shafii
Pedro atakaa sawa kwa kipindi hichi cha likizo mambo yataenda poa.
Amiri Kayera
Pole yak bado gud prayer
Mwanahamisi
Pole sana
Theonestina
Pole yake
jullie
pole sana
Rehema
Pole yake
Caroline
Mungu ampe kupona kwa haraka
Mwajumah
Pole yake
warda
Pole yake jamani#Meridianbettz
Khadija
Pole sana mwenyez mungu atakufanyia wepes upone haraka#meridianbettz
Sadick
Ilikuwa kama mzaha kuumia kwa Pedro. Chelsea ilipoteza wachezaji watatu kutokana na majeraha#meridianbettz
Saupha mohamed
Daah pole sanaa
Devotha
Asante kwa taarifa
Sabrina
Utapona Pedro
David Pere
Majanga Tena hayo