Danadana Uhamisho wa Jadon Sancho

Taarifa zinaripoti kuwa Klabu ya Manchester United hawajakata tamaa ya kumfukuzia nyota wa Borusia Dortmund, Jason Sancho.

Wakati huo, klabu ya Borusia Dortmund tayari walishaweka wazi kuwa staa huyu atasalia klabuni hapo ikiwa klabu inayotaka kumnunua itashindwa kufanya hivyo hadi tarehe 10 Agosti. Kwa kuwa tarehe hiyo imepita, klabu inafikiri haihitaji tena kumuuza nyota huyo katika dirisha hili.

Gumzo kubwa lipo katika dau kubwa ambalo klabu inataka kumuuza staa huyu mwenye thamani ya £108m. Man United walikuwa wanafanya jitihada za kufanya mazungumzo ya juu ya dau lake lakini yanabuma.

Kwa mujibu wa mkurugenzi wa michezo wa Borusia Dortmund Michael Zorc, Baada ya tarehe waliyokuwa wameitoa kama mwisho wa kumuweka sokoni staa huyu, klabu inatarajia kuendelea kusalia na staa huyu na huu ni uamuzi wa mwisho. Na sasa yupo mazoezini kwa ajili ya kibarua kilichopo mbele yao.

Wakati huo, meneja Ole Gunnar amepuuzia kuzungumzia juu ya uhamisho wa staa huyu na hatua waliyokuwa nayo. alipoulizwa kuhusu Sancho alijibu kuwa “Siwezi kuzungumza juu ya wachezaji wa timu nyingine. Siwezi kufanya hivyo, unajua hilo. Siwezi kabisa”

Licha ya Dortmund kuonekana wameshatoa maamuzi ya mwisho, bado kuna walakini, kama wasemavyo hakuna mkate mgumu kwa chai, basi lolote linaweza kuwezekana ikiwa Man United wataweza kuwashawishi. Pesa inaweza kubadilisha mambo hata hili la Jadon Sancho.

 


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

 

46 Komentara

    Yaani hawa hata hawaeleweki#Meridianbettz

    Jibu

    Ingependeza akabaki hapo Dortmund

    Jibu

    Huyo abaki tuu hapo dortmund

    Jibu

    sa itakuaje

    Jibu

    Abaki hapo hapo Dortmund

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Dortmund

    Jibu

    Inapendeza abaki dortmund#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Sancho wenye maamuz ni club yake tu

    Jibu

    Wenyew maamuzi club yake.

    Jibu

    Sijui mwisho ni nini apo

    Jibu

    Wafanye maamuzi ya mwisho

    Jibu

    Tetesi za usajiri wa Sancho zimevuma muda mrefu sana, mwisho Dortmund kama wamekata tamaa#meridianbettz

    Jibu

    Ni bola abaki tu Dortmund

    Jibu

    united waweke pesa mezani wamchukue sancho

    Jibu

    Maoni:wamuachie tu nyota huyo akajaribu bahati club nyingine uwenda akafanya vizuri zaidi

    Jibu

    Mara nyingi ukwamishaj wa usajili una shindikana kwa mwenyekiti wa man united edwood yule mmarekani anazingua sana basi hata hili dili utakuta linakuja kukwama vile vile tumeona.mara kibao akifanya hv tunashindwa kusajili yule tunae mtaka yan mpka nashabiki wa man united watishie kuchoma moto nyumba yake ndio anafanya usajili man united si timu masikini ina pesa ya kutisha na ndio inayo ongoza kulipa wachezaj mishahara mikubwa

    Jibu

    Sancho asubiri wakati mwingine tena kama Dortund hawatokuwa tayari kupunguza ada ya uhamisho

    Jibu

    Usajiri wa Sancho umekua gumzo Sana kila Leo ni tetesi zake za usajiri.

    Jibu

    Sancho si abaki Dortmund.kwan Nani anateseka

    Jibu

    Manchester city wamchukue tyuu sancho ni mchezaji mzuri Sana pia ataaongeza nguvu katika kikosi kabisah gardiola haongeze mkwanja wamchukue Sancho

    Jibu

    Sancho ni bora akabaki tu Dortmund

    Jibu

    Vilabu vilivyoonesha nia ya kuhitaji huduma ya mchezaji huyo wa timu ya Dortmund pia yeye mwenyewe amekua akitamani kurudi klabuni hapo, lakini pia vilabu kama Manchester United, Chelsea na Liverpool vimekua vikimtolea macho kinda huyo anaye washa moto kwelikweli kunako ligi ya Bundesliga
    Ila upande wa Manchester United wanamtaka sana Sancho ila tatizo n dau man u wanachungulia hela

    Jibu

    Nibola abaki Dortmund

    Jibu

    Gumzo kubwa lipo katika dau kubwa ambalo klabu inataka kumuuza staa huyu mwenye thamani ya £108m. Man United walikuwa wanafanya jitihada za kufanya mazungumzo ya juu ya dau lake lakini yanabuma.

    Jibu

    Bora abaki tu

    Jibu

    sancho Deal SWAP

    Jibu

    Wafanye maamuzi sahihi

    Jibu

    Man u waache kuichungulia pesa hiyoo wafunge maongezi wamchukue sancho

    Jibu

    Hii habari nzuri sie wapenzi wa mpira

    Jibu

    Kazi kweli kweli!!!

    Jibu

    Tatizo pesa nyingi.

    Jibu

    Sancho ni mahiri sana ila dortmund wampe pesa ndefu kuhakikisha anabaki

    Jibu

    Sancho asubiri wakati mwingine tena

    Jibu

    Yy mwenyewe ndo achague

    Jibu

    good news

    Jibu

    Mambo yashakua mengi kwake

    Jibu

    Bora abaki tu

    Jibu

    Club toeni maamuz kuhusu Sancho!!!!

    Jibu

    Good news@meridianbettz

    Jibu

    Bora abakiii tu

    Jibu

    Bado muda tutaongea tu watamuuza maana pesa ipoo

    Jibu

    Acha tuone kama atatua man u au atabaki klabuni kwake dortimund

    Jibu

    Sancho usajiri wake umekua ukisumbua Sana.

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Mamuzi niyake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.