Klabu ya Leeds United ilikuwa ukingoni kuinasa saini ya legendari wa soka Diego Maradona miaka ya 1980.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Kiongozi wa zamani wa klabu hiyo Bill Fotherby, mpango huu ulikuwa mbioni kukamilika.
Wakati wa uongozi wake, Fotherby alishuhudia klabu hii ikipandishwa kwenda daraja la pili na baadaye kushinda taji la Ligi Daraja la kwanza. Walianza kumtamani Maradona wakiwa bado katika daraja la pili.
Kwa mujibu wa mkurugenzi huyo wa zamani wa Leads ni kuwa alikutana na wakala wa wa Diego Maradona, ambaye alifahamika kama Jon Smith wakati huo na wakafanya mazungumzo juu ya uwezekano wa kukamilisha dili hilo.
Fotherby anasema kuwa katika mazungumzo hayo aliambiwa kuwa hawezi kumudu gharama za kumsajili Maradona. Ambaye alikuwa na thamani ya takribani milioni 8. Baada ya kumwambia kuwa alikuwa na mbinu ya kupata pesa hiyo, haikupita mda taarifa hizi zikavuja!

Kumfukuzia Diego Maradona Kunavuja!
Licha ya juhudi za kutaka kufanya suala hili liwe la sili, tarifa za Leeds kumfukuzia Diego Maradona zilivuja na akaanza kupokea simu kuulizwa alitoa wapi pesa za kumtaka Maradona?
Wakurugenzi wa Arsenal na Tottenham ni miungoni mwa waliompigia simu na kumuuliza “Unamfukuzia Maradona? Umetoa wapi pesa?”. Baada ya stori kushika chati, Maradona aliamua kuwepo Napoli kabla ya kwenda Sevilla na badala yake Leeds walipanda daraja la kwanza na walimsajili Eric Cantona aliyewasaidia kushinda taji msimu wa 1992/93.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Fatuma kasomo
Gud news
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Issa
Leeds wangefanya vyema kumsajili kwakuw alikuwa kwenye moto sana kipindi hiko
Furahav
Safi
felister
makala nzuri
Ester jackson
Asante kwa nakala
Ernest
Leeds ingekuwa imeweka Historia ya kumsajili mchezaji nyota kipindi cha nyakati zake
Shafii
Ingekua Leeds ya mfano wake miaka hiyo maana kua na fundi Kama huyu kwenye club nomaa sanaa.
Caroline
Asante meridianbet
Povel
Leed United walizunguwah kwl hapo kwn Kama wangesain naiman timu ingefany vzr sana kpnd hch natumain wangeongezek moral zen wangewez kubeb Taj lolote ndan ya msimu huo
Lydia Emmanuel Magoti
Meridian mpo vizuri kwamakala nzuri
Dorophina
Asante kwa makala
magdalena
leeds walizingua sana
Sabrina
Diego maradona alikua mchezaji mzuri sana Leeds united wangeipata saini yake ingekua bonge la deal
Leticia
Habari njema
Sadick
Diego Maradona alikuwa mchezaji mahiri duniani aliyeweka alama ya kudumu Napoli na Argentina hatasahaulika. Madawa ya kulevya yalimuondoa mapema#meridianbettz
JULIANA
Safi
Rehema
Asante kwa taarifa
Gabriel
Huyu ndie Messi wa zaman namkubal sana huyu jama haswa nikikumbuka kituko ambacho alichofanya katika kombe la dunia alipokutana ilikuwa ni robo fainal ambapo walikutana na waingereza Gwiji huyo wa soka aliongeza kuwa tukio la mwaka 1986 halikuwa tukio pekee kwake kutumia mkono kwani katika kombe la dunia la 1990 alitumia mkono wake kuondoa mpira uliokuwa karibu kuingia katika goli la Argentina katika mechi dhidi ya taifa la Usovieti.
Huyu jamaa alikuwa hatar sana
Rose kapinga
Hataar xana!!!
jullie
wamchukue tu yuko vizuru
Adelta
Asante kwa makala nzuri
@meridianbettz
Saupha mohamed
Habari njema
rama
Maoni:vizur aje alete nguvu pale
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Ester jackson
Good news
David Pere
Sasa walimshindwa nini wangemsajili tu madhani wangetisha katika Shana zao
Zeiyana
Leeds united walikua na nia kubwa sana ya kumsain mchezaji nguli Diego maradona waliamini asilimia mia angefanya vizuri kwenye clabu hiyo ila ndio ivyo tena pesa sio makalatasi
Shan
Makala safi!!
Njiku
Duuh nilikuwa sijui hii ilikuwa ipo sana hii Dah kama wangemsajili lingekuwa bonge la timu na lingekuwa linafanya vizuri sana
Salma ngende
Vizuri
Nasra
Ingekua Leeds ya Aina yake kwa kweli.
Devotha
Alikua ni mchezaji mzuri sana
Theonestina
Safi
farida ahmadi
Maradona ni mkali leads wangemsajili kipindi hiko hakika wangetwaa ubingwa mara nyingi
Samiah
Safi
Latifa juma mohamed
Namnukuu,, Kiongozi wa zamani wa klabu hiyo Bill Fotherby, mpango huu ulikuwa mbioni kukamilika
Lydia Emmanuel Magoti
Ingekuwa vizuri sana wange msajili maradona nimchezaji wakitambo Sana anajua mpila
warda
Ha haaaaaa Wangeuza sana Jezi