Morrison ni Huru

Bernard Morrison maarufu kama BM33 leo jioni ametangazwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuwa mchezaji huru baada ya kamati kujiridhisha kuwa mkataba wake na Yanga kuwa na mapungufu kadhaa.

Mwenyekiti wa kamati hiyo Elias Mwanjala amesema kuwa mkataba kati ya Morrison na Yanga ulikuwa na mapungufu ambayo yamefanya mkataba huo usiwe na uhalali, hivyo kamati hiyo imefutilia mbali mkataba wake na Yanga na kumfanya kuwa mchezaji huru. Japo Yanga wana nafasi ya kukata rufaa kutokana na huku hiyo.

Sambamba na hilo kamati hiyo imepeleke Morrison katika kamati ya Maadili kujadili ni kwanini alisaini klabu ya Simba kabla ya shauri lake kutolewa maamuzi na kamati. Pia kamati imemtaka Morrison kulipa pesa ya usajili USD 25000/= aliyochukua kutoka klabu ya Yanga kwaajili ya kusaini mkataba mpya.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

42 Komentara

    Hongera zake ila bado Morrison ni kipusa

    Jibu

    Congrat BM33👊👊👊

    Jibu

    Hongera merrison umeponea chupu chupu

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Bora limepita salama

    Jibu

    Waoooooo!!! Kelele nying kwa simba’ake!!!!

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari njema

    Jibu

    Habari njema kwa simba

    Jibu

    Maoni:safiii tulisubili muda mrefu huku yani

    Jibu

    Hongera Morrison umeponea chupuchupu#Meridianbettz

    Jibu

    Ikiwa alichukua Dola 25,000 na fedha hiyo ikawa ndani ya maelezo ya mkataba ina maana alikuwa na mkataba halali hata kama ulikuwa na mapungufu. Ni full ubabaishaji#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Yupo kimkwanja zaidi

    Jibu

    Yuko kimaslahi zaidi
    @meridianbettz

    Jibu

    Kuna vitu vingine tunatakiwa kujiuliza na kufikiria alisainije mkataba ambao haukuwa na kigezo kama mchezaji maarafu ambaye ameshasaini mikataba mingi na kuichezea yanga ?. kama kamati kuu ya mchezo wamedhibitisha kuwa kunaujanja ambao umetendeka kwenye mkataba wake na yanga kwanini apelekwe kwenye kamati ya nidhamu au ndio kufunika funika mambo yaende?. Yanga kama hawajamlipa pesa zake kwanini asingeshitaki kuwa hajalipwa au hamna mchezaji ambae hatakiwi kulalamika kuhusu haki yake na yanga ikachukuliwa kisheria tunatakiwa tujiulize sio kuchekelea hili.

    Jibu

    Waoooooo!!! Kelele nying kwa washabik wa Simba

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ahsanteni kwa kutatua sintofaham hiyo kati ya morrison na yanga africa maana maneno ya mtaani yalikua ni mengi

    Jibu

    Safii Sana habari nzuri kwamashabiki wa msimbazi Morrison ni yeye

    Jibu

    Mpira wa bongo umekuwa na siasa nyingi sana wakati huu, Hili swala ni aibu kwa taifa kwenye nyanja za kimichezo

    Jibu

    Jamaa kajua kuuza magazet kila gazeti la michezo habari ni yeye

    Jibu

    Habari nzuri kwao

    Jibu

    Hongera Sana Morrison

    Jibu

    Apa kuna namna imefanyika.si bure

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sawa bernad.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habariii njemaaa kwetu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    inapendeza morrison kuwa huru ila tanzania tuache siasa katika soka tuucheze mpira ili taifa lifike mbali

    Jibu

    hii ndo Tanzania kwenye ukweli kunakua uwongo tena ulioopitiliza

    Jibu

    Merrisoni si MTU nzuri kivulugwe Hugo sina uwakika kama simba atatulia

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Mie Naona Mapicha picha tu

    Jibu

    Upo njema Morrison

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.