Liverpool hawana mpango wa kumsajili kinda wa miaka 18 -Talles Magno kutoka Vasco da Gama ambaye amepewa jina la “Neymar wa Kesho”.
Tetesi kutoka katika vyanzo vya habari za michezo nchini Brazil zilitaja kuwa Liverpool wanataka kumsajili kinda huyu ambaye anatazamiwa kuja kuwa na uwezo kama wa Neymar kwa siku zijazo.
Kwa mujibu wa Evening Standard, Liverpool wameshafanya maamuzi juu ya kinda huyu na hawana mpango wa kumsajili kwa sasa.

Talles Magno alipata umaarufu kwa kuweza kuonesha uwezo wake katika kikosi cha vijana cha timu ya taifa ya Brazili U17, kwa kuchapa magoli 5 kati ya mechi 10 alizocheza na kuwasaidia kushinda Kombe la Dunia mwaka jana.
Hata hivyo, taarifa zinataja kuwa hofu kubwa ya Liverpool ni uwezo wa nyota huyu chipukizi kubadilisha mazingira ghafla, kutoka katika soka na utamaduni wa Brazil na kuendana na mahitaji ya soka na utamaduni wa Uingereza.
Magro ana mkataba na klabu ya Vasco da Gama hadi mwaka 2022, na mkataba wake unatajwa kuwa na thamani ya £43m. Lakini, kutokana na changamoto za janga la Corona klabu hii inatarajiwa kuwa inaweza kupokea hadi £18m.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Mwajumah
Asante kwa makala
felister
ahsante kwa taarifa
Furahav
Talles anaonekana atakua noma zaidi ya neyma.
farida ahmadi
Maamuzi yao wenyewe Liverpool kumsajili mchezaji huyo au kumuacha
Lydia Emmanuel Magoti
Talles anaonekana yupo vizuri zaidi
Mwanahamisi
Gud news
Zeiyana
Liverpool bado wanakikosi kizuri
Latifa juma mohamed
Asante kwa makala.
Venerose
Habari njema
Nasra
Nice
Dorophina
Talles hawezi kufikia kiwango cha Neymar inatakiwa ajipange vizuri
Fatina mfingi
Habar njems
Sauda
Talles atakuwa anajua zaidi ya Neymar
Issa
Kloop anataka wachezaji wenye hali ya ushindani
Ester jackson
Arsenal wangemchukuwa mana ni timu ambayo inakuza sana vipaji vya wachezaji kwenda timu kubwa
Ernest
Kama uwezo anao atapata timu nyingine kubwa zaidi ya Liverpool
Hope mwaikuka
Cjaelewa kabsa
Devotha
Liverpool wachezaji wake wanajitosheleza
Sabrina
Liverpool wanamuacha dogo anakipaji huyoo angewafaa ila atapata timu ya kumtoa nakukitizamia kipaji chake
Sadick
Brazil kuna Neymar lukuki tatizo wakishaanza kupata umaarufu na fedha tabia hubadilika na kupoteza uwezo wa kucheza kabumbu. Kaka ni miongoni mwa wachache waliobaki na tabia njema maisha yao yote#meridianbettz
Gabriel
Hapa wanahofia kwanza dau pili Kama watamsajir itabid akae bench kwanza ili wajue watampa namba gan maana dogo huyo Talles Magno anaonyesha kabisa n hatar sana 👍
Asia Abdy
Pesa itaongea
Njiku
Good news
Fatuma kasomo
Atapata tim nyingine
neema hassan
Habari njema kwa mashabik
Johnmary joel
WAla asikate tamaa hatapata timu nyingine#meridianbett
David Pere
Kama uwezo anao atapata timu nyingine kubwa zaidi ya Liverpool au hata Barcelona
Omary lukumbi
Tellas magno ni mtu hatar sana
aisha
Talles usikate tamaa maana kila kitu kinawakati wake na pia wakati wake ukifika utachezea tuu club ya liverpool
Tatu
Talles atulize boll naona wakati wake bado
warda
Hawa Liver nao wanaringa sana si wamchukue tu#Meridianbettz
Adelta
Habari njema kwa mashabiki
@meridianbettz
Caroline
Wanamkataa Neymar wa Kesho.pole yao
Mariam mtandama
Habari njema
Shafii
Cha msingi asianze kulewa sifa kwa sasa anatakiwa apambane na kujituma kwa dhati.
Samira
Liverpool wanafeli sana kumuachia huyo dogo
Khadija
Habari njema
Rehema
Safi
Neema
Asantee kwa habari
Povel
Gud update
Saupha mohamed
Good news
Salma ngende
Wameacha majembe
Samiah
Nice
magdalena
tatzo la neymar ana dharau sana ingawa ni mchezaji mahili