Arsenal Wamnasa Kinda Jonathan Dinzeyi wa Spurs

Arsenal wametangaza rasmi kukamilisha saini ya Jonathan Dinzeyi kwenye uhamisho kama mchezaji huru, kinda huyu wa miaka 20 anajiunga na The Gunners baada ya kuachwa na wapinzani wao wa jiji Tottenham Hotspur.

Dinzeyi, ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya chini cha miaka 18 ya Uingereza, sasa atakuwa  kwenye kikosi cha chini ya miaka 23 cha Arsenal msimu huu.

Beki huyu bila shaka atakuwa ni sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal katika kujaribu na kumuinua ili awe bora klabuni hapo. Dinzeyi amecheza mechi 22 za Spurs chini ya miaka 23 kwenye Ligi Kuu kwa misimu mitatu iliyopita.

Wakati washika mtutu hawa wakiongeza vijana kwa upande wa Mikel Arteta, kuna taarifa kuwa Arsenal wako mbioni kumuuza moja ya kinda wao kutoka nafasi ya ushambuliaji kwenda klabu nyingine ya Ligi Kuu Bara wiki hii.

Inavutia kuona jinsi nyongeza hii itakavyowavutia mashabiki wa kilabu, ambao watakuwa wakosoaji juu ya usajili wa mchezaji wa zamani wa wapinzani wao, ni heri kinda huyu akaleta mchango mkubwa kikosini.

Ni muhimu kujua kuwa Arsenal wanahitaji kuboresha kwa kiasi kikubwa kikosi chao cha vijana kuelekea msimu mpya, hasa ukizingatia idadi kubwa ya vijana ambao tayari wameshapandishwa kwenye kwenye kikosi kikubwa cha timu hii.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

33 Komentara

    Kila la kheri kinda Dinzenyi maisha popote kapambane Gunner

    Jibu

    Safi san Arsenal

    Jibu

    Safi sana the gunners kwa usajili makini

    Jibu

    Arsenal bado wanaitaji usajiri mkubwa ili kuimarisha kikosi chao

    Jibu

    Kama kawaida Arsenal wa kuteleza kwa Vikinda

    Jibu

    Imekaa poa ni vizuri kua na wachezaji ambao watakua kwenye timu kwa mda mrefu.

    Jibu

    Hiyo imekaa poa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Simkubal wala nn

    Jibu

    Siku zote wanasema kosea uchumba ila usikosee kuoa huu usemi n maarufu sana hapa nchini kwetu maana kwa usajil ambao umefanywa na arsenal msimu huu ni waz kabisa hawajakosea kusajil kuanzia Gabriel hadi kinda Jonathan Dinzeyi maana Ni viungo wachanga na wako vzur sana arsenal jeshiii

    Jibu

    Safi sana kama Arsenal watamchukua dogo

    Jibu

    Huyo dogo ni moto wa kuotea mbali big up arsenal

    Jibu

    Kijana yuko vizuri sana hata hawajakosea .

    Jibu

    Gud asset

    Jibu

    Ni muhimu kujua kuwa Arsenal wanahitaji kuboresha kwa kiasi kikubwa kikosi chao cha vijana kuelekea msimu mpya, hasa ukizingatia idadi kubwa ya vijana ambao tayari wameshapandishwa kwenye kwenye kikosi kikubwa cha timu hii.

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Safi sana Arsenal..

    Jibu

    Hongera kwa Arsenal kwa kupata kinda

    Jibu

    Safi Sana arsenal
    @meridianbettz

    Jibu

    arsenal wamefanya jambo jema sana katika kumnasa uyo mchezaji maana ni mahili sana na anaweza sana na anajituma sana na atainua sana club

    Jibu

    Hongera Jonathan

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kila la heri Jonathan Dinzeyi

    Jibu

    safi arsenal tunategemea mazuri msimu ujao

    Jibu

    Safi sana arsenal

    Jibu

    Yuko vizuri Sana

    Jibu

    Point nzuri arsenal!!!

    Jibu

    Arsenal bado usajili wao haujakomaa ilitakiwa watafute wachezaji wazuri sio kubeba beba tu ilimradi wamesajili

    Jibu

    Safi sana#meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki wa Tottenham hukasirika sana kusikia Harry Kane aliwahi kuwa kwenye academy ya Arsenal na ikiwa kinda huyu ataenda kuwika Arsenal maneno ya kejeli kutoka upande wa pili hayatakosekana#meridianbettz

    Jibu

    Safiii sana arsenal kwa kupata kinda makini

    Jibu

    Hongera Yao Arsenal

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.