Wakati taarifa za Messi kutimka Barcelona zikiendelea kuteka vichwa vya habari duniani. Kocha wa Liverpool – Jurgen Klopp anaona ni uhalisia kwamba mchezaji huyo hawezi kusajiliwa Anfield katika dirisha hili.
Mapema wiki hii ilitoka taarifa iliyozua taharuki kuhusu mshindi mara 6 wa tuzo ya Ballon D’Or- Lionel Messi kutaka kuondoka Barcelona kwa kile kinachosemekana ni timu hiyo kukosa mipango endelevu yenye kuongeza ushindani katika anga la soka.
Klopp: HAIWEZEKANI Messi Kusajiliwa Liverpool.
Akiwa katika mahojiano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii, kocha wa Liverpool amenukuliwa akisema, ” Ni nani asiyetaka kuwa na Messi kwenye timu yake? Lakini haiwezekani, gharama yake haiendani na sisi. Hatupaswi hata kuanza kufikiria, kimsingi hatuna nafasi hiyo. Lakini ki-ukweli ni mchezaji mzuri.”
Baada ya kuulizwa atajisikiaje akiona Messi anakwenda kujiunga na Manchester City ambao ni wapinzani wao katika kutetea taji lao la ubingwa. Klopp amejibu, ” Itawasaidia sana City. Itakuwa ni ngumu sana kuwafunga, ilishakuwa ngumu kuwafunga hata hivyo.
“Kwa Premier League itakuwa ni jambo kubwa kwa 100%. Kuwa na mchezaji bora duniani [nadhani] kwenye ligi itasaidia. Sidhani kama Premier League inahitaji msaada lakini itasaidia.
“Lakini pia itavutia kumuona Messi ambaye hajawahi kucheza ligi nyingine tofauti na La Liga. Mpira wa hapa ni tofauti sana, nitafurahi kuliona hilo japo sidhani kama nitaliona.
“Nadhani falsafa ya klabu hii inajulikana. Tutaangalia ni kiasi gani tunaweza na tunataka kukitumia. Kwa sasa sina cha kusema kuhusu hilo” Jurgen alijibu baada ya kuulizwa kuhusu usajili kwenye timu yake.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Sadick
Endapo Messi atasajiriwa Man City ataleta chachu kubwa mno kwenye EPL#meridianbettz
Issa
Mess kwa kujiunga liver ni ngumu sababu kuna wachezaji wenye uchezaji kama wake kama mo salah hivyo kloop itamuwia ngumu kwenye upangaji
Aziza mushi
Asanteni kwa taarifa meridian.
Hope mwaikuka
Hata mm naona awez
Rose kapinga
Lolote linaweza tokea!!!
Dorophina
Messi tunamsubilia kuona wapi ataangukia maana yeye ndio mwenye maamuzi wapi atatamani kwenda
Salma ngende
Awez kwenda liver
Jane Michael
Awezi
Shafii
Tunaisubili Sana hii kandarasi ya messi kutua man city.
Sabrina
Inawezekana kabisa
Saupha mohamed
Makala safi
Omary lukumbi
Uko sahihi sana klopp
neema hassan
Asante kwa makala#meridianbettz
Samira
Ni kweli kwa kiwango alichonacho Messi ataenda kufunika vipaji vya wale ambao wanataka kung’ara katika Liverpool
Theonestina
Maamuzi ni yake
Flomena
Good news
magdalena
klopp hamhitaji messi sababu hatokuwa na msaada wa kuzidi sababu umri wake ushakuwa mkubwa anaweza aakawasumbua baadae
Ernest
Piga ua galagaza,Messi lazima atatua Mancity
Mwajumah
Messi kwa kujiunga liver ni ngumu#Meridianbettz
Fatina mfingi
Mmh itakuwa ngumu kwa kweli
Nasra
Gud news
Adelta
Maamuzi Ni yake mwenyewe@meridianbettz
Fatuma kasomo
Upo sahihi
Lydia Emmanuel Magoti
Klopp awezi kumsajili Messi nataivyo Messi mri wake Sasa unaenda nata Messi awez kwenda kuichezea Liverpool
Caroline
Ina maana Liverpool Hana hela ya kumsajili Messi.kumpata Messi mumwage manotiii
Njiku
Messi ni mchezaji mzuri ila kwangu me kama klopp
Khadija
messi hawezi kwenda kuichezea livepool#meridianbettz
Tatu
Liverpool yenyewe inajitosheleza kwenye safu ya wachezaji na imejipanga vizuri tu
Rehema
Bwanaee awezi kwenda live atafute kambi nyingine
Neema
Yeye mwenyewe anajua
Povel
City Wana nafasi kubwa sana ya kumsajil Messi hapo
Sauda
Kweli kabisa haiwezekani
marry
mess kutok barca ni ndoto wasijisumbue
aisha
Pesa ya kumnunua messi kwa kipindi hichi hawawezi wakamudu.
Gabriel
Liverpool kikosi kimekamilika kwa upande wa mafoward
Mwanahamisi
Uko sahihi sana klop
Isaya massawe
Kauli ya klop ina maanisha kwamba afai Liverpool au??
Agness
Lolote ninawezekana
Amiri Kayera
Liver pesa iyo awana
Samiah
Gud news
Janeflora malisa
Nice
Shan
Mess kujiunga liver ni swala gumu sana kloop hana mahesabu nae
Saupha mohamed
Good news
lombo
huo n mtazamo wake
Ester jackson
Kloppa yuko sahihi kabisa hakuna timu au mchezaji asiyependa kucheza na messi ila kutokana na uchumi itakuwa ngumu sana kwa vilabu vingi tu
Latifa juma mohamed
Anenayo klopp Yuko sahihi hakuna klabu isiyomhitaji Messi isipokuwa Hali ya uchumi hii kutokan na Messi kuchukuliwa kwa dau kubwa
Frank P
Right price for right player
rama
messi chaguo lake man city tu
felister
Messi basi sema chochote kuhusu hizi tetesi jamani
farida ahmadi
Yuko sahihi kabisah klopp
Devotha
Asante kwa taarifa
Zeiyana
Ukiachia mbali dau la kumsajiri messi kwa upande mwengine messi kashakua maji ya jioni tena na kama hataenda man city yote kwa ajili ya kocha wake tu nasio chengine chochote
warda
Huyu Messi Atupe Break kidogo Mana hata haeleweki
David Pere
Mess kwa kujiunga liver ni ngumu sababu kuna wachezaji wenye uchezaji kama wake kama mo salah hivyo kloop itamuwia ngumu kwenye upangaji