Mje kwa Mkapa, Tuna Jambo letu Jumapili - Nugaz

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Agosti 30, Uwanja wa Mkapa kwenye kikele cha wiki ya Mwanachi.

Siku hiyo Yanga imepanga kuwatambulisha wachezaji wapya na wale ambao walikuwa ndani ya kikosi kwa msimu wa 2019/20 watakaoendeleza gurudumu msimu mpya 2020/21.

Pia kutakuwa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya kimataifa kutoka Burundi huku burudani zikitolewa na wasanii ikiwa ni pamoja na Shilole, Madee, Chege Chigunda na Harmonize.

Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa:”Tunawaomba mashabiki na wadau wa Yanga wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa kwani kuna jambo letu muhimu.

“Malengo makubwa ni kuona kila mmoja anafurahi kuona timu yake ikiwa uwanjani na kuwaona wachezaji bora kwani usajili wetu ni makini na kila kitu kipo sawa.”

Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa na Yanga ni pamoja na Fernandes raia wa Angola, Tuisila Kisinda na Tonombe Mukoko raia wa Congo, ambao ni nyota wa kigeni huku wazawa ni Farid Mussa, Abdallah Shaibu, Bakari Mwamnyeto na Waziri Junior.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara.

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

48 Komentara

    Ngoja tuone balaa la Yanga wazee wa Utopolo

    Jibu

    habar njema kwa wana wa jangwan

    Jibu

    Kama kawa wazee wa bakuli tutakinukisha carinhos ndio mwenye

    Jibu

    Yanga imesajiri wachezaji wa viwango tuone watakavyosaidia timu kuleta ushindani ktk ligi#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa wanayanga.

    Jibu

    Mmmh!

    Jibu

    Hakuna maajabu huko!!!

    Jibu

    Kama kawa!!!!

    Jibu

    Wana yanga tunahamu ya kushuhudia iyo siku.

    Jibu

    Yanga ya msimu ujao sio ya mchezo mchezo

    Jibu

    Hatar hiyo siku ya wananchi

    Jibu

    Endelea kuhasisha na muujaze huo uwanjani sijui mtaweza kwer

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Wanaangaika tu hao Yanga

    Jibu

    Haoo yanga mapepe tu

    Jibu

    Lili kuwa bonge la pambano

    Jibu

    Yanga atapigwa tu

    Jibu

    Malengo makubwa ni kuona kila mmoja anafurahi kuona timu yake ikiwa uwanjani na kuwaona wachezaji bora kwani usajili wetu ni makini na kila kitu kipo sawa.

    Jibu

    tatizo la utopolo wana maneno mengi na mbwembwe nyingi vitendo ni zero

    Jibu

    Mh ngoja tusubili tu iyo tarehe 30 tuone kama kutakua na maajabu kwa yanga#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa yanga
    @meridianbettz

    Jibu

    Mmmh yanga hamna jipya!

    Jibu

    Yetu macho kuona hilo jambo

    Jibu

    Amna maajabu yanga

    Jibu

    Msimu huu yanga wamejitahidi sana kwenye usajili wamechukua wachezaji wazuri sana nasubilia kuwaona hiyo jpili

    Jibu

    Mashabiki tupo pamoja kabisa yani hiyo kesho mapema sana ndani ya uwanja wa uhuru(mkapa)

    Jibu

    Tunakujaaaaaa yanga Kama yanga hatutawaangusha

    Jibu

    Yanga imesajili sana ilo balaa lake sio poa

    Jibu

    Nataka nione utopolo huo kwasababu sio kwakujigamba huko Wana utopolo

    Jibu

    Yanga ya Sasa sio Kama ya zamani gonja tuwaonyeshe maajabu

    Jibu

    Yangaaaa oyeeeeeee

    Jibu

    Kila la kheri utopolo fc

    Jibu

    Habari nzuri kwa Yanga

    Jibu

    Tunahamu kubwa ya kushuhudia makubwa kutoka kwa wana yanga.

    Jibu

    Burudan itakuwa ya kufa mtu yanga mko vzur sana

    Jibu

    Yanga juuuu

    Jibu

    Habari njema kwa Wana yanga

    Jibu

    Tunatak kuona usajir wao

    Jibu

    Tusubir tuone

    Jibu

    Yanga hamna kitu

    Jibu

    Yanga tukutane j2

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Kwa sisi mashani wa yanga lazima tuje

    Jibu

    sema nini usajili huu wa yanga nimeuelewa

    Jibu

    Habari nzuri kwa wapenzi wa yanga

    Jibu

    Yanga ya kimataifa

    Jibu

    Jambo Tumeliona la kuporomoka

    Jibu

    Burudan itakuwa ya kufa mtu yanga mko vzur sana

    Jibu

Acha ujumbe