Mazungumzo ya Paul Dyabala na Juventus juu ya mkataba mpya
Taarifa zinaripoti kuwa klabu ya Juventus bado inaendelea kufanya jitihada za mazungumzo juu ya mkataba wa nyota wake Paulo Dybala, lakini pande hizi mbili zinadaiwa kuwa kwenye changamoto ya kufikia makubaliano ya mkataba mpya.
Wakati mkataba wa sasa wa nyota huyu ukiwa unafika ukingoni mnamo mwaka 2022, Il Corriere dello Sport wanaripoti kuwa mazungumzo ya Juventus na Dyabala yamekuwa yakiendelea tangia mwaka 2019.
Licha ya kuwepo na taarifa kuwa Dyabala alitaka kuondoka kwa madirisha ya uhamisho yaliyopita, kipindi hiki pande zote mbili zinatajwa kuwa zipo tayari kuongeza mkataba wao uliopo mezani kwa sasa.
Meneja mpya wa Juventus, Andrea Pirlo amenukuliwa akithibitisha kuwa mshambuliaji huyu ataendelea kuwepo hapo kwa Kibibi Kizee cha Italia, licha ya ukweli kuwa klabu bado haijafikia matakwa ya Dyabala.
Mazungumzo ya pande hizi mbili yamekuwa na maendeleo kwa kiasi fulani, huenda yakafika tamati hivi karibuni.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Ernest
Binafsi naona Dyabala amekuwa na msimu mzuri sana ndani ya Juventus sijui nini kinataka kumtoa huko labda anataka kucheza ligi nyingine tofauti na maswala ya mkwanja
lombo
Asante meridianbet kwa habar moto moto
Sadick
Pamoja na Dyabala kucheza mechi chache lakini amefanya vzr kiasi cha kupewa tuzo. Ni imani yangu Pirlo atatafuta namna nzuri itakayowawezesha kucheza pamoja na Ronaldo#meridianbettz
Issa
Dyabal kuondoka juve msimu huu inawezekana sana sababu anaonyesha kwa konte hana nafasi
Aziza mushi
Asanten kwa habari meridian.
Hope mwaikuka
Ni jambo jema
Rose kapinga
Dyabal ni motoo
Salma ngende
Vizuri
Khadija
Naona dyabala amekuwa na msimu mzuri sana ndani ya juvetus
Shafii
Dybala ingekua vyema ukaja kukipiga EPL.
Sabrina
Inapendeza
Omary lukumbi
Bora asalie turin
Venerose
Asante kwa taarifa
neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Asia Abdy
Namkubal sana Dyabala
Samira
Dyabala ni mchezaji mwenye kiwango kizuri sana
Theonestina
Habari njema
Flomena
Great
magdalena
juve wangejitahidi kumnyaka mchezaji huo na angewafaa sana
Mwajumah
Namkubali sana Dyabala#Meridianbettz
Adelta
Namkubali Sana Dyabala @meridianbettz
Fatina mfingi
Namkubali
Dorophina
Dyabala yupo vizuri sana juve wangemuacha tu haendelee kuitumikia klabu
Nasra
Safii
Fatuma kasomo
Habari njema
Caroline
Dyabala amekua na msimu mzuri Sana Juventus
Njiku
Mr naona dybala anatakiwa atafute chaka lingine ili kwa mafanikio yake zaidi na kunyakuwa mataji mengi zaidi hasa uefa champions
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana Dyabala yupo vizuri
Rehema
Gud news 👍
Neema
Asanteeni kwa taarifa hii #meridianbet
Povel
Dyabala yupo vzr sana
Sauda
Dyabal ni hatari sana
aisha
Dybala ungeangalia uwezekano wa kutafuta club nyengine.
Gabriel
Dyabala msimu huu akiingia sokon lazma agombaniwe yuko vzur sana
Amiri Kayera
Itakua vzur km juve itambakish
Janeflora malisa
Msimu wake wa her
Furahav
Saini tena mzee baba.
Saupha mohamed
Safii
Shan
Dyabla ni juve tu mazima
Ester jackson
Good news
felister
ni jambo zuri
Devotha
Asante kwa taarifa
Zeiyana
Dyabala yupo vizuri sana kwa nafasi hii yengine walio mpa uwongozi wa juventus ataleta mabadiliko makubwa sana
warda
Atabaki tu Juve Hawashidwi
David Pere
Binafsi naona Dyabala amekuwa na msimu mzuri sana ndani ya Juventus sijui nini kinataka kumtoa huko labda anataka kucheza ligi nyingine tofauti na maswala ya mkwanja