Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha La Gazzetta dello Sport, klabu ya Inter Milan bado hawajakubali kushindwa kumsajili nyota wa Barcelona ambaye kwa sasa ana shinikiza uhamisho wa kuondoka klabuni hapo.
Taarifa zinasema kuwa baada ya raisi Steven Zhangkujua gharama ya mchezaji huyu tayari anatafuta wadhamini kutoka China kuweza kukamilisha uhamisho wake.
Hata hivyo, klabu ya Manchester City bado inatajwa kuwepo kwenye rada za kuiwinda saini ya staa huyu.
Inter Milan wanatarajiwa kuwa wanaweza kukamilisha mazungumzo na kujaribu kumsajili staa huyu.

Taarifa zaidi zinasema kutokana na mabadiliko katika masuala ya kodi kule Italia, huenda klabu za Italia zikaleta ushindani mkubwa zaidi kwenye soko la wachezaji katika dirisha hili la uhamisho.
Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, kutokana na punguzo la kodi kwa wafanyakazi wakazi wa Italia, basi itakuwa rahisi zaidi kwa Inter kuvalia njuga na kufanya makubaliano ya kumsajili Messi.
Ikumbukwe, klabu ya Barcelona hawapo tayari kumuacha Messi aondoke katika dirisha hili kwa dau la chini ya paundi milioni 700.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Mwajumah
Asante kwa makala#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Wataweza kweli mbona kama siwaaminii
Shan
Wanaweza kuchukua ili aje alete upinzan na mess
Sabrina
Duuh Kweli inter hawakubali kushinwa!
Caroline
Dah Messi anaenda timu gani.mbona Kama wengi mnamuwinda
Fatina mfingi
Mmmh wataweza kweli
Lydia Emmanuel Magoti
Mmmm Messi watawezana kweli kwenda Inter sizani
Nasra
Itakuwa ngumu hapo
Furahav
Mmmh ngoja tuone km itawezekana.
Dorophina
Messi haende tu man u
WAZIRI
Wataweza kwr???
Khadija
Messi aende tu man u
Ester jackson
Inaonekana hakuna timu ambayo haimtaki mchezaji messi ila tu nikwamba uchumi wa hela hamana mana inaonekana inter Milan wanamtaka kwa hali na Mali mpaka wanataka kutafuta mzamini wa kuwawezesha
Issa
Inter itapambana ili imlete mess ili pawe na ushindan zaidi wa mess na cr7
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Tatu
Kila club inamuhitaji mess
Janeflora malisa
Mambo mazur
Ernest
Inter wanashindwa kujiongeza ila tuu kwa style yao ya Mpira Messi aweza chagua ata akitoka usingizini issue sio dau hapa kwa Inter
Sadick
Wapenzi wa mpira tunasubiri kuona wapi Messi ataelekea endapo ataondoka Barcelona#meridianbettz
Aziza mushi
Duh inter hawakubali kushindwa.
Zuhura omary kindamba
Asante kwa makala
Rose kapinga
Messi ni kama mti wenye matunda mazuri kila mtu anatolea macho!!!
Salma ngende
Me nasubiri team utayochagua ninunue jezi!!!
Shafii
Nadhani messi kwa sasa anataka kuondoka barca atafute timu ambayo itampa vikombe kwa mda aliobakisha kwenye career yake.
Omary lukumbi
Hii itakua posa akitua inter
neema hassan
Messi hawezi kuhama barcelona
Asia Abdy
Wapambane
Samira
Mimi nasubiri kwa hamu nione one of my best player ataenda wapi
Theonestina
Wapande dau tu
Flomena
Waweke dau zuri mezan
magdalena
yetu macho messi mwenyewe ndo ataamua wapi patamfaa maana takribani club nyingi za uingereza zinaonesha uhitaji wa messi
Fatuma kasomo
Ngoja tuone
Njiku
Messi kawa gumzo ulaya Dah sasa inter wanaweza kumsajili Messi kwa kiwango chake cha pesa ila yetu macho
Sauda
Wapambane tu..
Rehema
Duuh ngoja tuone
Neema
Wanaweza endapo dau litakuwaa nonoo
Povel
Dau lake kikwazo kikubwa Sana hapo
Samiah
Ngoja tuone
aisha
Sidhani kama ghalama za messi wataziweza.
Gabriel
Tatizo la Messi dau lake liko juu sana
Isaya massawe
Kila klabu inatamani kumsajili messi
Amiri Kayera
International imesajir san msim huu
Janeflora malisa
Mess pesa ipo juu
Saupha mohamed
Messi sasa aangalie upepo kwengine
Latifa juma mohamed
Dau ndio kikwazo kikubwa Sana.
felister
sidhani Kama wataweza
farida ahmadi
Ngoja tujionee wenyewe
Devotha
Wapambane watampata
Zeiyana
Kwa ali ya uchumi ilivyo polomoka sijui kama kuna clabu yoyote hitakayo weza kumsajili messi labda yeye hatake mwenyew kwenda kuichezea clabu hanayoipenda na sio kusubiri usajiri
warda
Messi hawezi kwenda Inter labda Man U
David Pere
Inaonekana hakuna timu ambayo haimtaki mchezaji messi ila tu nikwamba uchumi wa hela hamana mana inaonekana inter Milan wanamtaka kwa hali na Mali mpaka wanataka kutafuta mzamini wa kuwawezesha