Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba.

Mtanange huo ni maalum kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2020/21 ambapo unatarajiwa kupigwa Agosti 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Akizungumza na Goal, Hitimana amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wanaamini watakutana na timu kubwa hivyo watapambana.

“Wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Simba. Wanatambua kwamba haitakuwa kazi rahisi ila wapo tayari hivyo kilichobaki ni wakati kukamilisha yale ambayo wamejifunza.
“Tunacheza na timu kubwa, wana taji la ligi pia tulikutana kwenye Kombe la Shirikisho tukapoteza hivyo yote ninakumbuka bado sijasahau” amesema.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara.
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Antony Luseno
Mechi nyepesi kwa simba fc hilo kombe lake
Furahav
Kwa simba hii hatoki mtu.
Sabrina
Mpira dk 90 ni vizuri mnajipa Moyo namungo mtashinda
Lydia Emmanuel Magoti
Namongo Amna kitu humo Simba Wana simama hewani mechi hiyo yangao ya hisani
Nasra
Hapatoshi hapo
Hope mwaikuka
Namungo wanakuja vzur kikubwa mkaze tu
magdalena
acha tusubiri dakika 90 ndo itakuwa jibu la kila kitu
Khadija
patakuwa hapotoshi hapo hila tusiongee sana mpira dk 90
Dorophina
Mpira dakika 90 tunasubilia kitakachojiri
Ernest
Mnyamba simba kama namuona akifanya mauajii ya kinyamaa kwa Namungo
Caroline
Ha ha ha hatujali Wala nini
Ester jackson
Huu ni mchezo wa kusisimuwa mana majirani zetu kama tunawaona wanavyo ongea..
Shan
Game ngumu sana hii
Mwajumah
Kwa Simba hapo atomuacha mtu salama atakula nyama mpaka mifupa atatafuna#Meridianbettz
Sauda
Simba lazima wachukue Kombe
Issa
Ni noma sana lig inawadia tena ila yanga ni safi msimu ujao
Janeflora malisa
Nice
Sadick
Namungo imeanzishwa miaka ya karibuni na naona imeanza kupata mafanikio ya haraka sana. Kwa bahati mbaya timu nyingi zimekuwa zikipanda na baada ya kushuka zinapotea kabisa#meridianbettz
lombo
mambo n moto na meridianbet
Aziza mushi
Kwa Simba apo wameumia.
Rose kapinga
Simba kama simba baba lao,lazima wakae!!!
Salma ngende
Kila la heri
Shafii
Mechi itakua ya mvuto wa aina yake.
Omary lukumbi
Ngoja tusubir tuone
Tahiya
Ni mwaka wa vikombe tyuu kwetu wanasimba namungo kufungwa laxima
neema hassan
Mtanange hatarii
Asia Abdy
Nice
Samira
Na imani kubwa na timu yangu simba lazima tuchukue hii ngao ya jamii
Theonestina
Simba baba lao
Flomena
Wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Simba. Wanatambua kwamba haitakuwa kazi rahisi ila wapo tayari hivyo kilichobaki ni wakati kukamilisha yale ambayo wamejifunza.
Fatina
Simba Nina Imani na nyie
Fatuma kasomo
Ninaimani nacmba
Njiku
Bonge la game simba wanaasilimia kubwa ya kuchukua kwa kiwango chake ila wasiende na uwakika maana nao namungo fc sio poa wapiga vilabu vikubwa na tunaona
Rehema
Hao tena wapenda sifa
Neema
Nasubiria mie kuona mapambano tu
Povel
Bongo mnyama Hana mpinzan hapa namungo wanapigwa tena
aisha
Tusije tukashudia mnyama kachinjwa hiyo siku.
Gabriel
Namungo iko vzur sana
Amiri Kayera
Hii mechi itakua ngum Sana
JULIANA
Asante kwataharifa
Saupha mohamed
Taarifa safi
felister
yani simba wanapendaga kujishaua
Devotha
Tusubiri matokeo
Zeiyana
Ila na mungo nao wana kuja na upepo wa kasi sana na kama wakiendelea hivi hivi watafika mbali sana
warda
Wesha chukua mabigwa Wenye Kombe lao
David Pere
Aliwaonea sanaa