Klabu ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.
Kocha huyo anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa Klabu ya Yanga.

Kwa mujibu wa Injinia Hers Said amesema kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa kandarasi kocha huyo baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo.
Amewahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa wa Afrika akiifundisha TP Mazembe pia alikuwa akiinoa Klabu ya Polokwane City.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara.
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Rose kapinga
Kazi nzuri yanga,mmefanya chaguo sahii!!!
Furahav
Kazi kwake,tuone itakuaje.
Khadija
kazi kwake tuone itakuwaje
magdalena
yanga mpaka wanatia huruma juu ya kupata kocha Mungu awasaidie kwakweli
Sabrina
Yanga hawanaga Kazi mbovu
Antony Luseno
Pamoja na mapokezi mazuri lakini pia ajiandee na kupata lawama
Lydia Emmanuel Magoti
Wajipange tuuu amka kazi nyepesi kwasa Babu asaivi kila mtu ana mpania mwenzie
Hope mwaikuka
Karibu jangwan
Ernest
Kumekucha kumekucha Yanga, Mpira raha sana Bongo siku zijazo nafikiria kutafuta timu ya kuishabikia sasa tunaona Soka limekuwa la kiushindani sana , Wawekezaji wajitokeze kwa wingi kusupport timu zetu zote
Caroline
Hii ndo yanga mpyaa
Ester jackson
Kocha mziri sana tunamatumaini kuwa ataifikisha yanga mbali mbele ya mitanzamo ya wengine
Shan
Inabidi yanga ipambane sana kutwaa kombe msimu ujao
Mwajumah
Pamoja na mapokezi mazuri lkn pia ajiandae kupokea lawama#Meridianbettz
Dorophina
Yanga msimu huu itakuwa moto sana dhaa ngoja tuone itakavyokuwa
Sauda
Karibu sana kwenye timu ya wajanja..
Issa
Wazee wa jangwani msimu ujao patachimbika
Janeflora malisa
Vzr
Sadick
Inadaiwa makocha kutoka Serbia ni rahisi kuwaajiri, hawana gharama kubwa. Ni jambo la kusikitisha kwamba makocha wengi wamekuwa hawapati muda mrefu wa kukaa na timu#meridianbettz
lombo
iko poa
Salma ngende
Rete maajabu baba
Shafii
Karibu mzee wana yanga tunataka mabadiliko.
Omary lukumbi
Karibu sana Dar young Africa
Venerose
Safi sana
neema hassan
Asante kwa habari za michezo na burudan#meridianbettz
Asia Abdy
Ujio mpya wa yanga..safi
Samira
Ngoja tuone kama atawasaidia kuwarudisha katika game
Theonestina
Nasibir kwa ham nione tutakavyokuwa tunawKalisha
Flomena
Wellcom Tanzania
Fatina
Karibu
Fatuma kasomo
Habari njema kwa yanga
Njiku
Yanga itakuwa ipo poa sanaa itakuwa ya moto acha tuoneee hii
Neema
Karibu sana TZ
Povel
Hakunaga kufeli hapo
Johnmary joel
Tunamkaribisha sana sasa mambo moyo yanga#meridianbett
Rehema
Karibu sana Tanzania
Saupha mohamed
Taarifa bomba
aisha
Karibu jangwani tufanye kazi na wana yanga.
Gabriel
Zlatico Krmpotick ni kocha wa kimataifa na nimzoefu sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu
Amiri Kayera
Kocha anarecord nzur
JULIANA
Asante kwataharifa
felister
karibu yanga mzee baba
Devotha
Karibu Sana yanga
Zeiyana
Yanga wapo vizuri sana ninacho wapendea hicho tu hwataki zarau kata mti panda mti big up sana uwongozi wa yanga hawataki maneno wanachotaka wao kuimarisha kikosi chao tu..!tunategemea matokea mengi mazuri
warda
Haya Ngoja Tuone Tarehe 18
David Pere
Kumekucha kumekucha Yanga, Mpira raha sana Bongo siku zijazo nafikiria kutafuta timu ya kuishabikia sasa tunaona Soka limekuwa la kiushindani sana , Wawekezaji wajitokeze kwa wingi kusupport timu zetu zote