Kuelekea Mashindano ya US Open, droo za mashindano hayo zinaonesha Andy Murray atachuana na Mjapani – Yashihito Nishioka wakati mwanamama Johanna Konta atakutana na Muingereza mwenzake – Heather Watson.
Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Andy Murray tangu alivyopata majeruhi mwaka jana (2019) katika Mashindano ya Australian Open.
Michuano ya Grand Slam itaanza kutimua vumi mapema Jumatatu na wachezaji nyota wengi hawatokuepo kutokana na sababu mbalimbali. Rafael Nadal na Bianca Andreescu ni kati ya wachezaji nyota watakaokosekana.
Nani kukutana na nani kwenye US Open mwaka huu?
Muingereza -Dan Evans atachuana na Mbrazili – Thiago Seyboth Wild. Edmund atachuana na Alexander Bublic. Novak Djokovic dhidi ya Damir Dzumhur. Cameron Norrie dhidi ya Diego Schwartzman.
Serena Williams dhidi ya Kristie Ahn. Coco Gauff kuchuana na Anastasija Sevastova wakati Naomi Osaka ataumana na Mjapani mwenzake – Misaki Doi.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


magdalena
mambo ya us open yanazidi kupamba moto
Furahav
Haya sasa mambo yamewiva.
Antony Luseno
Murray anamshinda mjapan bila shida
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo Yana zidi kupamba Moto
Fatina mfingi
Mambo mazur
Sabrina
Uko US open kumenoga hivyoo
Sadick
Nataka kuona kama Serena atarudi kwenye kiwango chake cha zamani#meridianbettz
Mwajumah
Mambo yanazidi kuwa moto#Meridianbettz
Mwanahamisi
Mambo yametaradadi na #meridianbet
Khadija
sijui itakuwaje kwa serena atarudi kwenye kiwango chake
Nasra
Kumekucha sasa
Ester jackson
Habari njema kabisa
Caroline
Serena atarudi kwenye ubora wake kweli.
rama
hatari sana yani
Shan
Murray hatari sana kwenye game hizo
Tatu
Mambo mazuri
Sauda
Mambo yamenoga..
lombo
Asante meridianbet kwa habar moto moto
Hope mwaikuka
Mambo yametaradad
Zuhura omary kindamba
Mambo mazuri
Rose kapinga
Mambo yamepamba motooo
neema hassan
Mambo moto
Flomena
Thanks kwa makala nzuri
Aziza mushi
Habari njema
marry
asante kwa makal
Samiah
Gud
Rehema
Asante kwa makala mzuri
Isaya massawe
Murray yuko vizuri sana
Latifa juma mohamed
mambo ya us open yanazidi kupamba moto
Devotha
Mambo yametaladadi
farida ahmadi
Mambo mazuri hayoo
felister
Murray anashinda bila shida
Zeiyana
Huu ushindani wa kipekee subir tuone
warda
Murray Atashinda Tu
David Pere
Asante meridianbet kwa habar moto moto
Samira
Naamini serena atarudi kwenye kiwango chake cha zamani